Mkoa wa Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fi:Dar es Salaam (alue)
Picha:Tanzania DarEsSalaam location map.svg
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania DarEsSalaam location map.svg|thumb|right|240px|Mahali pa Mkoa wa Dar es Salaam katika Tanzania]]
== Dar es Salaam ==
'''Dar es Salaam''' ni kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]]. Eneo la mkoa ni [[Jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Imepakana na [[Mkoa wa Pwani]] pande zote barani na [[Bahari ya Hindi]] upande wa mashariki. Jiji la Dar es Salaam ndilo kitovu cha shughuli za biashara na utawala nchini Tanzania.