Mkoa wa Mtwara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ramani mpya
Mstari 1:
[[ImagePicha:Tanzania_MtwaraTanzania Mtwara location map.pngsvg|thumb|right|260px|Mahali pa Mkoa wa Mtwara katika Tanzania]]
 
'''Mtwara''' ni jina la mji na mkoa wa [[Tanzania]].
[[Image:Tanzania_Mtwara.png|thumb|right|260px|Mahali pa Mkoa wa Mtwara katika Tanzania]]
 
'''Mkoa wa Mtwara''' ni kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]]. Uko katika pembe la kusini-mashariki kabisa la nchi. Umepakana na [[Mkoa wa Lindi]] upande wa kaskazini, [[Bahari Hindi]] kwa mashariki, [[Msumbiji]] katika kusini na [[Mkoa wa Ruvuma]] upande wa Magharibi. Mpaka wa kusini ni [[Mto Ruvuma]].