Mkoa wa Pwani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d picha |
Picha:Tanzania Pwani location map.svg |
||
Mstari 1:
[[
'''Mkoa wa Pwani''' ni kati ya mikoa 26 za [[Tanzania]]. Makao makuu ya mkoa ndipo [[Kibaha]]. Mkoa umepakana upande wa Kaskazini na [[Mkoa wa Tanga|Tanga]], upande wa mashariki na [[Dar-es-Salaam]] na Bahari Hindi, upande wa kusini na [[mkoa wa Lindi]] na upande wa magharibi na [[mkoa wa Morogoro]].
Mstari 6:
== Wilaya ==
[[Image:Tanzania Pwani.GIF|thumb|left|
Mkoa wa Pwani una wilaya sita ndizo (idadi ya wakazi katika mabano): [[Wilaya ya Bagamoyo|Bagamoyo]] (230,164), [[Wilaya ya Kibaha|Kibaha]] (132,045), [[Kisarawe]] (95,614), [[Mkuranga]] (187,428), [[Wilaya ya Rufiji|Rufiji]] (203,102) na [[Wilaya ya Mafia|Mafia]] (40,801).
|