Waraka wa kwanza wa Klementi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tahajia
No edit summary
Mstari 1:
'''Waraka wa kwanza wa Klementi''' ni andiko lililoandikwa na [[askofu]] wa [[Roma]] ([[Italia]]) [[Papa Klementi I|Klementi wa Roma]] mnamo mwaka [[100]] [[BK]] kwa [[kanisa]] la [[Ukristo|Kikristo]] mjini [[Korintho]] ([[Ugiriki]]).

Ni kati ya maandiko ya kwanza ya kikristo nje ya [[Biblia]] ([[Agano Jipya]]) yaliyohifadhiwa na kujulikana hadi leo.
 
== Waraka wa kwanza wa Klementi kati ya maandiko ya kale ya kikristo ==
Jina rasmi la andiko hili ni "Klementi kwa Wakorintho" (kwa [[Kigiriki]] Κλήμεντος πρὸς Κορινθίους, ''Klēmentos pros KorinthiousKorinthius'') iliandkwa kwa lugha ya Kigiriki. Pamoja na maandiko mengine kama vile [[Didake]], [[Waraka wa Barnaba]] na nyaraka saba za [[Ignatio wa Antiokia]] iko katika ya maandiko ya kale kabisa ya Ukristo wa kwanza yaliyohifadhiwa nje ya Agano Jipya. Wataalamu wengi wengi wanahisi ya kwamba iliandikwa mnamo mwaka 100 BK kwa hiyo miaka michache baada ya vitabu vya mwisho vya Agano Jipya au hata wakti uleule.
 
Iliandikwa kwa [[lugha]] ya Kigiriki, iliyokuwa inatumiwa na Wakristo wengi wa wakati ule hata mjini Roma.
== Umri wa waraka ==
Ndani ya waraka kuna vidokezo kadhaa kuhusu wakati wa kuandikwa kwake hata kama hakuna tarehe kamili - lakini hii ilikuwa kawaida kwa maandiko engi ya yakati zile.
 
Pamoja na maandiko mengine kama vile [[Didake]], [[Waraka wa Barnaba]] na nyaraka saba za [[Ignatio wa Antiokia]] iko katika ya maandiko ya kale kabisa ya Ukristo wa kwanza yaliyohifadhiwa nje ya Agano Jipya.
Waraka inataja "misiba ambayo imetufikia ghafla na mara kwa mara" na hii inachukuliwa na wataalamu kama maejeo kwa mateso ya Wakristo chini ya [[Kaisari Domitiano]] wa Roma mnamo 96-98 BK. Pia kanisa la Roma laitwa "la kale" na barua inasema ya kwamba wazee waliosimikwa na mitume waliaga dunia tayari.
 
Wataalamu wengi wengi wanahisi ya kwamba iliandikwa mnamo mwaka 100 BK kwa hiyo miaka michache baada ya vitabu vya mwisho vya Agano Jipya au hata wakati uleule.
== Sababu ya waraka ==
Sababu ya kuandika waraka ilikuwa fitina ndani ya kanisa la Korintho iliyosababisha kuondolewa kwa viongozi kadhaa madarakani. Klementi alipinga fitina hii akitetea viongozi wa awali. Aliwakumbusha Wakorintho kuhusu barua waliowahi kupokea kutoka kwa [[Mtume Paulo]].
 
== Umri wa waraka ==
Waraka huu ni muhimu kwa sababu inaruhusu kupata picha ya hali ya ndani ya shirika za kwanza za kikristo wakati wake. Kwa mfano waraka inataja vyeo vya "Wazee, maaskofu na madikoni" ndani ya kanisa la Korintho.
Ndani ya waraka kuna vidokezo kadhaa kuhusu wakati wa kuandikwa kwake hata kama hakuna tarehe kamili - lakini hii ilikuwa kawaida kwa maandiko engimengi ya yakatinyakati zile.
 
Waraka inataja "misiba ambayo imetufikia ghafla na mara kwa mara" na hii inachukuliwa na wataalamu kama maejeomarejeo kwa mateso ya Wakristo chini ya [[Kaisari Domitiano]] wa Roma mnamo [[96]]-[[98]] BK. Pia kanisa la Roma laitwa "la kale" na barua inasema ya kwamba wazee waliosimikwa na [[mitume wa Yesu]] waliaga dunia tayari.
 
== Sababu ya waraka ==
Sababu ya kuandika waraka ilikuwa fitina ndani ya kanisa la Korintho iliyosababisha kuondolewa kwa viongozi kadhaa madarakani. Klementi alipinga fitina hii akitetea viongozi wa awali. Aliwakumbusha Wakorintho kuhusu barua waliowahi kupokea kutoka kwa [[Mtume Paulo]].
 
Waraka huu ni muhimu kwa sababu inaruhusuinawezesha kupata picha ya hali ya ndani ya shirikajumuia za kwanza za kikristo wakati wake. Kwa mfano waraka inataja vyeo vya "Wazee, maaskofu na madikonima[[shemasii]]" ndani ya kanisa la Korintho.
 
== WeblinksViungo vya nje ==
* [http://www.earlychristianwritings.com/1clement.html Early Christian writings:] ''The First Epistle of Clement''
* [http://www.earlychristianwritings.com/2clement.html Early Christian writings:] ''The Second Epistle of Clement''