Tofauti kati ya marekesbisho "Askofu msaidizi"

57 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
[[File:THE FIRST COUNCIL OF NICEA.jpg|thumb|right|Maaskofu waliokusanyika katika [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]]]]
'''Askofu msaidizi''' (kwa [[Kiingereza]] "auxiliary bishop") ni [[askofu]]kiongozi aliyepewawa [[darajaKikristo takatifu]] ya juualiyeteuliwa hasa kwa lengo la kwamba amsaidie [[askofu wa jimbo]] kuongoza na kusimamia [[dayosisi|jimbo]] lake kulingana na mwongozo wake.
 
==Katika Kanisa Katoliki==
KwaIli ajilikufikia hiyolengo hilo kwa kawaida anateuliwa kuwa [[makamu wa askofu]] (walau mmojawao ikiwa maaskofu wasaidizi ni zaidi ya mmoja).
 
Upande wa [[sakramenti]] askofu msaidizi ni askofu kamili aliyepewa [[daraja takatifu]] ya juu kama walivyo maaskofu wengine na huweza kutoa sakramenti zote zikiwa ni pamoja na [[daraja takatifu]] ila atahitaji ruhusa ya askofu wa jimbo ili kufanya hivyo (au ya [[Papa]] ili kutoa ile ya [[uaskofu]]).
 
Kwa kuwa yumo katika [[urika wa maaskofu]], ni haki yake kushiriki [[mtaguso]] wowote utakaofanyika katika eneo lake na hata [[mtaguso mkuu]].
 
Katika [[Kanisa Katoliki]] la Magharibi askofu msaidizi huteuliwa na [[Papa]] kwa ombi la askofu wa jimbo, ambaye ana pendekeza majina matatu ya mapadrima[[padri]].
 
Kati ya majimbo yenye maaskofu wasaidizi wengi zaidi, kuna yale ya [[Mexico City]], [[Roma]], [[Milano]], [[Chicago]], [[Buenos Aires]], [[Rio de Janeiro]], [[Sao Paulo]] na [[Los Angeles]].
*[http://www.newadvent.org/cathen/02145b.htm ''Auxiliary Bishop'' katika [[Catholic Encyclopedia]] (ingawa ni toleo la zamani)]
 
[[Jamii:Viongozi wa diniMaaskofu]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Kanisa]]
 
[[cs:Pomocný biskup]]