Jamhuri ya Watu wa Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
corr. area, update population
Mstari 51:
Rais wa sasa ni [[Amani Abeid Karume]] ambaye ni mwana wa rais wa kwanza.
 
==SiasaHistoria==
Historia inajionesha ya kwamba kiasi cha miaka 20,000 kumekuwepo makazi ya bidadamu katika visiwa vya Zanzibar. Visiwa hivi ni sehemu ya kumbukumbu ya kihistoria ya ulimwengu wakati waajemi wafanyabiashara waliigundua na kufanya ndio makao makuu kwa safari kati ya Mashariki ya Kati, India, Na Afrika.
Zanzibar ina vyama vikuu vya kisiasa viwili,Chama tawala CCM na Chama cha wananchi CUF,tokea kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi vyama hivi vimekua vikivutana kaika mambo mbali mbali na kusababisa uchumi wa Zanzibar kuathirika sana kutokana na viongozi kujadili siasa katika vikao vya baraza la wawakilishi badala ya maslahi ya waliowachagua,tofauti sana na kwa upande wa Bara ambapo maendeleo mingi yamekua yakijionesha.
 
Katika karne ya mwanzo AD Zanzibar pamoja na mwambao wa Afrika ya Mashariki ulikua katika ufalme wa Saba,Katika kipindi cha karne ya 3 na 4AD,Wabantu walianza biashara na Waarabu waliokuja Afrika ya Mashariki.
Katika karne ya 7 AD,waarabu walikuja Zanzibar kibiashara pia kusambaza Dini ya Kiislam,Waarabu ndio waliyoipa jina ZANZIBAR kutokana na neno la Kiarabu ZINJI BAR yaani sehemu ya watu weusi.
 
Lugha ya kiswahili imeanza kutumika kiasi cha karne ya 13 AD,Lugha ya kiswahili ilitokana na kuchanganyika lugha ya kiarabu na lugha za kiafrika.
 
Karne ya 16 AD wareno walikuja Zanzibar lakini utawala wao ulifuatiwa na kutokuwepo utulivu,lakini biashara ya Utumwa iliwaweka watu pamoja.
Waarabu kutoka Oman walichukua utawala Zanzibar katika karne ya 17 AD,Na Zanzibar ilikua ni makao makuu ya utawala wa Waomani.
 
1820-1870 Zanzibar ilifaidi matunda mazuri ya kiuchumi na maendeleo yaliyosababishwa na utawala wa kisultani na hivyo kupelekea Zanzibar kuwa na mwakilishi nchini marekani na kupelekea kuenea kwa Dini ya wa kiislam.
Katika karne ya 19 AD Zanzibar ilikua chini ya utawala wa Oman,mwaka 1830 Zanzibar ilikua inaongoza kwa kilimo cha karafuu ,na hiyo kupelekea mahitaji ya watumwa kuongezeka kutumika katika kilimo.
1885 kamisheni kutoka Uengereza na Ujerumani iliamua kuigawa Zanzibar kutoka katika utawala wa Kisultani na ndio ulikua mwisho wa utawala wa kujitegemea kwa Zanzibar na mnamo mwaka 1886 sultani alikubali maridhiano hayo.
 
1890 Zanzibar ilikua chini ya uangalizi wa waingereza rasmi lakini uchaguzi wa mwanzo ulifanyika mwaka 1957,na miaka iliyofuata kukakuwepo fujo na machafuko kutoka kwa waafrika wanaodai uhuru dhidi ya utawala wa kiarabu.
Mwezi wa 12 mwaka 1963 Waingereza waliipa uhuru Zanzibar chini ya jumuiya ya madola,na mwezi wa mwaka 1964 Zanzibar ilifanya mapinduzi kujikomboa kutoka katika utawala wa kisultani,muda mchache baadae iliungana na Tanganyika kuunda Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA.
 
==Uchumi==