Idd el Fitr : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
mbegu-dini |
No edit summary |
||
Mstari 2:
'''Idd el Fitr''' ([[Kiarabu]]: '''عيد الفطر''' ''‘idu l-fiṭr''; pia: '''Eid ul-Fitr''', '''Id-Ul-Fitr''', '''Iddul Fitri''', '''Iddi al Fitr''') ni [[sikukuu]] ya [[Uislamu|kiislamu]] inayomaliza mwezi wa [[Ramadan (mwezi)|Ramadan]]. Kipindi cha kufunga kinamalizika kwenye sikukuu hiyo. Ni sherehe ya siku tatu.
Idd el Fitr inaanza mara mwezi wa [[hilali]] umeonekana baada ya Ramadan.
Waislamu huvaa nguo safi mara nyingi nguo mpya na kutoa zawadi kwa maskini. {{mbegu-dini}}
[[Category:Sikukuu za Uislamu]]
[[ar:عيد الفطر]]
|