Tofauti kati ya marekesbisho "Juma"

301 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
 
Ufuatano wa siku katika mapokeo haya huanza na Jumapili. Majina ya siku ni kama yafuatayo:
* [[Jumapili]] (Dominika)
* [[Jumatatu]]
* [[Jumanne]]
* [[Alhamisi]]
* [[Ijumaa]]
* [[Jumamosi]] (Sabato)
 
Katika mwaka juma moja la [[Machi]] mwishoni au [[Aprili]] linaadhimishwa na Wakristo wengi kama [[Juma kuu]], ambapo wanaadhimisha matukio makuu ya [[imani]] yao kadiri ya [[historia ya wokovu]], yaani [[mateso]], [[kifo]] na [[ufufuko]] wa [[Yesu Kristo]].
Siku za Jumamosi na Jumapili mara nyingi huitwa "[[wikendi]]" ''(kutoka [[Kiingereza]]: "weekend")''. Hata hivyo katika mapokeo hayo Jumapili ni mwanzo wa wiki mpya.
 
Siku za Jumamosi na Jumapili mara nyingi huitwa "[[wikendi]]" ''(kutoka [[Kiingereza]]: "weekend", yaani mwisho wa juma)''. Hata hivyo katika mapokeo hayo Jumapili ni mwanzo wa wiki mpya.
 
== Majina ya siku kwa Kiswahili ==