Alizeti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sh:Suncokret Badiliko: bo:ཉི་མ་མེ་ཏོག; cosmetic changes
Mstari 2:
'''Alizeti''' (Helianthus annuus) ni [[mmea]] unaodumu mwaka mmoja mwenye [[ua]] kubwa. Asili yake iko [[Amerika]] lakini imeenea pande nyingi za dunia.
 
== Umbo na ua ==
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Helianthus_whorlHelianthus whorl.jpg]]
Alizeti inafikia urefu hadi mita 3 na ua lake upana hadi 30 cm.
 
Mstari 9:
Kila ua mdogo ndani ya duara huwa na mbegu. Mbegu huwa na ganda gumu na ndani yake uko mbegu mwenyewe mwenye kiwango kikubwa cha mafuta.
 
== Matumizi ==
Kiasili alizeti inapatikana katika Amerika. Maindio walipanda ua katika bustani zao. Wa[[hispania]] walileta mbegu Ulaya baada ya kufika Amerika na mwanzoni mme ulipandwa kama ua la mapambo kwenye bustani.
 
Baadaye kiwango kikubwa cha mafuta ndani ya mbegu zake kilitambuliwa kikawa mme muhimu cha kuzaa mafuta.
 
== Kufuata jua ==
Jua linapochomoza maua mengi ya alizeti hugeukia mashariki jua linapotokea, na wakati wa mchana huendelea kulifuata jua mpaka magharibi hurudi katika uelekeo wa mashariki tena. Mwendo huu, "heliotropism", huratibiwa na seli ziitwazo ‘pulvinus’ sehemu iliyo huru kuzunguka chini kidogo tu ya chipukizi. Hatua ya chipukizi inapo isha shina hukomaa na mmea hupoteza uwezo wake wa kuzunguka tena kulifuata jua.
Mmea huganda kuelekea ( mara nyingi) upande wa mashariki. Majani na shina hupoteza rangi yake ya kijani.
Mstari 20:
 
 
== Historia ==
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Sunflower_head_snackSunflower head snack.jpg]]
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Sunflowers.jpg]]
Mmea huu una asili ya katikati ya Amerika. Wataalamu wamekadiria kuwa ulianza kulimwa sana huko [[Meksiko]], mnamo mwaka 26000 [[KK]] na pia huko bonde la mto [[Mississippi]]. Mifano ya mimea iliyotolewa Meksiko imeonekana huko Tennessee, Marekani pia, ikionesha kuwa pale tangu 2300K.K.[http://en.wikipedia.org/wiki/Sunflower#cite_note-6] Watu wengi wanatumia mmea wa alizeti kama ishara ya nguvu na utakatifu wa jua, hasa wale wa alizeti kama ishara ya nguvu na utakatifu wa jua. Hasa wale wa Aztecs na Otomi wa Meksiko na kusini mwa Amerika.
Francisco Pizarro alikuwa mtu wa kwanza kutoka Ulaya kuuona mmea wa alizeti huko Peru. Taswira ya dhahabu ya mmea na mbegu zake zilichukuliwa na kupelekwa Hispania mnamo karne ya 16. Baadhi ya watafiti wanasema kuwa Hispania iliwekewa vikwazo vingi kilimo cha alizeti kutokana na imani ya dini imayoambatana na mmea huo. [http://en.wikipedia.org/wiki/Sunflower#cite_note-7]
Kufikia karne ya 18, matumizi ya mafuta ya alizeti yalikuwa maarufu mno, hasa kwa waumini wa kanisa la Russia la Orthodox kwa sababu mafuta ya alizeti yalikuwa miongoni mwa vitu vichache vilivyo kuwa vinaruhusiwa kutumika wakati wa kwaresma.
 
 
== Kilimo na matumizi ==
Kukua vizuri mmea wa alizeti unahitaji jua la kutosha. Hakuna vyema kwenye arthi iliyo na rutuba ndogo wenye ukame mzuri na matandazo ya kutosha katika kilimo cha bidhaa mbegu hupandwa kwa umbali was m 45 na kinaacha 2.5. mbegu yam mea huu, alizeti, huliwa kama chakula cha kutafuna baada ya kuokwa/ kukaushwa, pamoja au bila ya chumvi. Huko ujerumani hutumika kutengenezea mikate. Alizeti pia ni chakula cha ndege na hutumika kwenye mapishi moja kwa moja na wakati wa kuandaa saladi.
Mafuta ya alizeti yanayokamuliwa kutoka kwenye mbegu za alizeti hutumika kupikia, mafuta ya kutunzia vitu na huzalisha siagi na dizeli ya mimea. Sababu yana gharama ndogo kuliko mafuta ya mizeituni. Kuna mimea mingi ya jamii ya alizeti yenye aina mbalimbali na viwango mbalimbali vya mafuta.mashudu yanayobaki baada ya kukamua mafuta hutumika kulishia mifugo kama chakula, alizeti pia huweza kuzalisha mpira.
Mstari 34:
Alizeti pia hutumika kufyonza kemikali hatari kutoka ardhini kama vile [[urani]] na walitumika katika kuondoa madini ya urani ardhini baada ya janga la kinyuklia lililotokea huko [[Chernobyl]].
 
== Ukubwa ==
Mimea ya alizeti hukua kufuata kimo cha mita 1.5, mpaka 3.5. Wana sayansi wameripoti kuwa mwaka 1567, kuna mualizeti ulikuwa kufikia kimo cha mita 12 huko Padua. Mbegu zake zilipo pandwa maeneo mengine zilitoa mimea yenye urefu wa mmita 8, kwenye maeneo kama vile madvid, hivi karibuni maeneo mengine kama vile Uholanzi na Ontario, Canada nao wamefanikiwa kukuza mimea hiyo yenye urefu wa mita 8.
 
== Alama za utamaduni ==
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:SunFlower_Closeup_HungarySunFlower Closeup Hungary.jpg]]
:Alizeti iko ndani ya nembo la [[jimbo la Kansas]], huko [[Marekani]], na katika nembo la mji wa Kitakyushu, Japani.
:Mmea wa alizeti hutumika kama alama ya ujamaa na demokrasia ya ujamaa. Hutumiwa na wafuasi wa itikadi ya [[Vegani]].
:Ua la mmea wa alizeti ndio ua la kitaifa nchini [[Ukraine]].
 
Mstari 51:
[[bg:Слънчоглед]]
[[bn:সূর্যমুখী]]
[[bo:ཉི་མ་མེ་ཏོག]]
[[bo:ཉི་མ་མེ་ཏོག​]]
[[ca:Gira-sol]]
[[cs:Slunečnice roční]]
Mstari 95:
[[sc:Girasole]]
[[scn:Helianthus annuus]]
[[sh:Suncokret]]
[[simple:Sunflower]]
[[sr:Сунцокрет]]