Tofauti kati ya marekesbisho "Lugha za Kisemiti"

6 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Badiliko: id:Rumpun bahasa Semitik; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: hsb:Semitiske rěče Badiliko: ku:Şemî)
d (roboti Badiliko: id:Rumpun bahasa Semitik; cosmetic changes)
[[imagePicha:lugha za Kisemiti.PNG|thumb|300px|Maneneo penye wasemaji wengi wa lugha za Kisemiti]]
'''Lugha za Kisemiti''' ni kundi ya lugha zinazozungumzwa na watu milioni 300 katika [[Asia ya Magharibi]], [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Afrika ya Mashariki]]. Zahesabiwa kama tawi la lugha za Kiafrika-Kiasia.
 
== Lugha za Kisemiti leo ==
Lugha yenye wasemaji wengi ni Kiarabu. Wasemaji wengine wako hasa Ethiopia na Eritrea halafu Israel. Lugha hai za kisemiti ni pamoja na:
 
* [[Kiarabu]] chajadiliwa kwa lahaja mbalimbali ikiwa Kiarabu sanifu ni pia lugha rasmi katika nchi nyingi za [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Mashariki ya Kati]] (wasemaji milioni 200-220)
* [[Lugha za Bara Arabu kusini]] zajadiliwa hasa katika [[Omani]] na [[Yemeni]]; ni lugha tofauti na Kiarabu chenyewe kuna bado wasemaji 300,000
 
== Lugha za kihistoria ==
Kuna idadi kubwa ya lugha za Kisemiti zinazojulikana kama lugha za kihistoria zisizo na wasemaji tena. Kati ya lugha hizi ni lugha za [[Babeli]], [[Ashur]], [[Kanaan]], [[Moabu]] na kwa jumla lugha za mataifa mengi zinazotajwa katika [[Biblia]].
 
[[CategoryJamii:Lugha za Kisemiti|!]]
 
[[Category:Lugha za Kisemiti|!]]
 
[[af:Semitiese taalfamilie]]
[[hy:Սեմական լեզուներ]]
[[ia:Linguas semitic]]
[[id:BahasaRumpun bahasa Semitik]]
[[is:Semísk tungumál]]
[[it:Lingue semitiche]]
43,985

edits