Waidakho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 22:
 
==Sanaa na Utamaduni==
===Vita vya Ng'ombe dume==
Licha ya kuwa mchezo wa kutumbuiza watu,pia ni sehemu ya mila zao ambapo hufanyika katika sherehe yeyote ya matanga na pia kwenye sherehe zingine za kitamaduni.Mchezo huu huusisha ng'ombe dume na hufanyika mathalani asubuhi na mapema.