Francis Imbuga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'’’Francis Imbuga’’’ anatambulika kama gwiji wa maswala ya uigizaji nchni [[KenyanKenya]] . Kama mwandishi wa tamthilia,muigizaji na hakimu wa michezo ya kuigiza,amekuwa kipao mbele wa mswala ya ubunifu,haswa kwa waandishi wanaoibuka.
===Historia na masomo===
Francis Imbuga alizaliwa katika kijiji cha Wenyange , Maragoli Magharibi, Magharibi mwa Kenya mnamo tarehe 2 Februari mwaka wa 1947.
Tamthilia zake ambazo nyingi huzingatia kuwepo kwa umoja na maridhiano katika familia za kitamaduni za Afrika zinatokana na yeye kulelewa na nyanya na babu zake katika eneo la [[Chavakali]].Kwenye mahojiano ya mwaka wa 1986,alikiri kuwa ni malezi yake yaliyomjenga kimaisha na kisanaa.Densi.methali,heshima na urembo wa Kiafrika zilitiririka na kudhihirika kwenye tamthilia zake na pia maishani mwake.
 
Hatima ya jamii ya Waafrika ilyozungukwa na itikadi ngeni ndio ilokuwa dhamira na maudhui ya kazi za waandishi waanzilishi wa Afrika,kazi ambazo Imbuga alizisoma.Kazi za [[Ngugi wa Thiong'o]] kama vile Weep Not, Child (1964), The River Between (1965), na The Black Hermit (1968) zina maudhui makuu ya mabadiliko ya kihistoria ya Waafrika na mizozo inayotokana na kuwepo kwa Wazungu katika Afrika.. Imbuga alizisoma kazi hizi pamoja na za waandishi wengine kama vile [[Elvania Zirimu]], [[Peter Nazareth]], [[Jonathan Kariara]],na [[Okot p'Bitek]].
 
Line 10 ⟶ 11:
Tajriba yake kwenye uigizaji ilianzia katika [[Shule ya Upili ya Alliance]], ambako mchezo wa kuigiza wake ulioitwa Omolo uliteuliwa kwenye fainali za Kenya National Schools' Drama Festival mwaka wa 1969. Akiwa mhusika mkuu,Imbuga aliteuliwa kuwa Muigizaji Bora wa Mwaka,na maravmoja akaanza kuandikia kituo cha televisheni cha [[Voice of Kenya]]-kwa sasa [[KBC]]- mchezo wa kuigiza endelezi wa "Omolo"
Imbuga alipata shahada ya digrii kwenye Elimu (bachelor of arts degree in education) katika [[Chuo Kikuu cha NairibiNairobi]].Akiwa chuoni (1970-1973), Imbuga aliiguza kwenye zaidi ya michezo ya kuigiza hamsini kwenye kipindi cha African Theatre kwenye runinga ya Voice of Kenya.
===Kazi yake===