Wanaisraeli : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
'''Wanaisraeli''' ni namna ya kutaja watu wa [[Agano la Kale]] waliokuwa wazawa wa [[Yakobo]] aliyeitwa pia Israeli, mmoja wa mababu wa taifa la [[Israeli ya Kale]] pamoja na babu yake [[Abrahamu]] na baba yake [[Isaka]].
Kadiri ya [[kitabu cha Mwanzo]] Yakobo alipewa na [[Mungu]] jina la "Israeli" baada ya kushindana
Alizaa wana wa kiume 12 waliokuwa mababu wa makabila 12 ya Israeli ya Kale.
Katika maandiko ya [[Agano la Kale]] ([[Tanakh]]) makabila hawa mara nyingi huitwa "Wanaisraeli", "wana wa Israeli" au pia "watu wa Israeli".▼
▲Katika maandiko ya [[
[[Category:Watu wa Biblia]]
|