Rasi ya Sinai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: oc:Sinai
No edit summary
Mstari 3:
'''Rasi ya Sinai''' ([[Kiar.]]: sina' سيناء) ni [[rasi]] yenye umbo la pembetatu nchini [[Misri]] upande wa kaskazini ya [[Bahari ya Shamu]] inayounganisha bara za [[Afrika]] na [[Asia]]. Inahesabiwa kuwa sehemu ya mwisho wa Asia ya Magharibi.
 
Eneo la Sinai ni takriban 60,000 km² hasa [[jangwa]]. Imepakana na [[Ghuba ya Suez]] upande wa magharibi na [[Ghuba ya Aqaba]] upande wa mashariki. Upande wa magharibi [[Mfereji wa Suez]] unaunganisha Bahari ya Shamu na [[Mediteranea]]. Kaskazini ya mwisho wa Ghuba ya Aqaba ni mpaka kati ya Misri na [[Israel]].
 
Mahali panapojulikana zaidi ndani ya eneo al rasi ni [[mlima Sinai]] (pia: mlima Horeb, jabal Musa) unaoaminiwa ni mahali ambako [[Musa]] alipokea [[amri kumi]] za [[Mungu]].
 
Kwenye pwani la rasi [[utalii]] ni sehemu muhimu ya [[uchumi]].
 
[[Jamii:Misri]]
[[Jamii:Rasi za Asia]]
[[Jamii:HistoriaMaeneo ya Biblia]]
[[Jamii:Bahari ya Shamu]]