Mtaguso wa tano wa Laterano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Mtaguso wa tano wa Laterano''' ulifanyika kuanzia mwaka 1512 hadi 1517 huko Roma (Italia), kwenye Basilika la Mt. Yohane kwenye Laterano...'
 
d roboti Badiliko: pl:Sobór laterański V; cosmetic changes
Mstari 9:
Maamuzi ya mtaguso zilitolewa kwa hati za Papa. Nyingine zinahusu mafundisho ya [[imani]], nyingine maagizo ya [[urekebisho]] wa [[Kanisa]].
 
== "Kitaguso" cha Pisa ==
 
Kwa kuwa Papa Julius II alikuwa hatekelezi kiapo chake cha kuitisha [[mtaguso]] kwa ajili ya [[urekebisho]], baadhi ya ma[[kardinali]], wakihimizwa na watawala wa [[Ujerumani]] na [[Ufaransa]], waliuitisha huko [[Pisa]] (Italia) kuanzia tarehe [[1 Septemba]] [[1511]]. Walikusanyika wachache tarehe [[1 Oktoba]], halafu katika kikao cha nane walimsimamisha [[Papa]] wakahamya [[Lyon]] (Ufaransa).
 
== Kuitisha mtaguso ==
Papa aliitikia “kitaguso” hicho kwa kwa hati ya tarehe [[18 Julai]] [[1511]], ambayo pamoja na kukipinga na kujitetea aliitisha mtaguso mkuu ukusanyike tarehe [[19 Aprili]] [[1512]] kwenye [[Laterano]].
 
== Mtaguso wenyewe ==
[[Vita]] vilichelewesha mwanzo wa mtaguso hadi tarehe [[3 Mei]] [[1512]], walipokusanyika katika [[basilika]] la Laterano makardinali 15, ma[[patriarki]] 2, [[askofu mkuu|maaskofu wakuu]] 10, ma[[askofu]] 56, ma[[abati]] na wakuu wa mashirika ya kitawa wachache pamoja na mabalozi wa nchi 3.
 
== Matokeo ==
Utekelezaji wa maagizo ya mtaguso ulikuwa mdogo sana, la sivyo pengine [[Matengenezo ya Kiprotestanti]] yasingetokea. Ukweli ni kwamba [[Martin Luther]] aliyaanzisha miezi sita tu baada ya mtaguso kwisha.
 
[[CategoryJamii:Mitaguso]]
 
[[ca:Concili del Laterà V]]
Mstari 34:
[[ja:第5ラテラン公会議]]
[[la:Concilium Lateranense Quintum]]
[[pl:Sobór Laterańskilaterański V]]
[[pt:Quinto Concílio de Latrão]]
[[sk:Piaty lateránsky koncil]]