Mtaguso wa pili wa Vatikani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: pl:Sobór watykański II; cosmetic changes
Mstari 11:
Maaskofu na wakuu wa mashirika kadhaa wenye haki ya kupiga kura walikuwa kama elfu tatu, wakiwakilisha karibu Kanisa lote duniani, isipokuwa nchi zile zenye kuwadhulumu Wakristo.
 
== Orodha ya hati 16 za mtaguso ==
 
Zinaorodheshwa kwa kutaja kwanza hadhi ya hati, halafu jina rasmi la Kilatini, kifupisho chake, mada na tarehe ya kutolewa.
Mstari 54:
3. [[Dignitatis Humanae]] (DH) Uhuru wa dini 7-12-1965
 
== Mapokezi ya mtaguso ==
 
Wakristo walio wengi walipokea kazi ya mtaguso kwa mikono miwili, na wengi nje ya Kanisa pia waliridhika sana. Kutokana nao yamepatikana matunda mengi, lakini zimejitokeza hata kasoro na shida kwa sababu mbalimbali, hasa kwa kutoelewa wala kutotekeleza sawasawa maagizo yake. Kwa vyovyote hatuwezi kusema yote yaliyotokea baada ya mtaguso yamesababishwa nao, k.mf. maovu yaliyofanywa na baadhi ya mapadri hayamo kabisa.
Mstari 68:
4. Zitekelezwe maishani.
 
== Namna ya kuelewa mtaguso ==
 
Tukitaka kuelewa vizuri hati za mtaguso, ni lazima tuzizingatie zote 16 zilivyo na zinavyofungamana.
Mstari 88:
Kati ya sinodi za ngazi mbalimbali kuanzia ile ya [[dayosisi|jimbo]], muhimu zaidi ni zile za kimataifa zinazofanyika mara kwa mara huko Roma (mtaa wa Vatikano), zikikusanya maaskofu wawakilishi wa nchi zote na baadhi ya wakuu wa mashirika ya kitawa.
 
== Juhudi za kutekeleza mtaguso ==
 
Kama vile mitaguso mikuu iliyotangulia kupanga urekebisho wa hali ya Kanisa, mtaguso wa pili wa Vatikano pia ujumbe wake hautaweza kuzaa matunda isipokuwa kwa juhudi za muda mrefu.
Mstari 96:
Ndiyo maana ilihamasisha juhudi zifanyike ili ujumbe wa mtaguso usikilizwe upya katika kila jimbo.
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.vatican.va/archive/hist_councils/ii_vatican_council/index_it.htm Hati za Mtaguso wa pili wa Vatikano]
 
[[CategoryJamii:Ukristo]]
 
[[CategoryJamii:Kanisa Katoliki]]
[[Category:Ukristo]]
[[CategoryJamii:Mitaguso]]
[[Category:Kanisa Katoliki]]
[[Category:Mitaguso]]
 
[[ar:المجمع الفاتيكاني الثاني]]
Line 131 ⟶ 130:
[[nl:Tweede Vaticaans Concilie]]
[[no:Andre Vatikankonsil]]
[[pl:Sobór Watykańskiwatykański II]]
[[pt:Concílio Vaticano II]]
[[ro:Conciliul Vatican II]]