Mtaguso wa pili wa Laterano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Mtaguso wa pili wa Laterano''', uliofanyika kuanzia tarehe 4 hadi 11 Aprili 1139 chini ya Papa Inosenti II, unahesabiwa na Kanisa Katoliki kuwa [[...'
 
d roboti Badiliko: pl:Sobór laterański II; cosmetic changes
Mstari 6:
Mtaguso ulihitajika kutokana na farakano lililotokea mwaka [[1130]] alipofariki [[Papa Onori II]]: ma[[kardinali]] waligawanyika kuhusu [[Mapatano ya Worms]], ambayo mwaka [[1122]] yalikomesha [[Mashindano kuhusu uteuzi wa maaskofu]].
 
Isitoshe, kulikuwa na ushindani kati ya [[koo]] mbili za [[Roma]], yaani Frangipane na Pierleoni.
 
Tarehe [[14 Februari]] [[1130]], makardinali 16 waliosimama upande wa familia ya Frangipane walimchagua kuwa papa Gregorio Papareschi, aliyejiita Papa [[Inosenti II]].
Mstari 22:
Hivyo zikapitishwa kanuni 30.
 
[[CategoryJamii:Mitaguso]]
 
[[cs:2. lateránský koncil]]
Mstari 35:
[[la:Concilium Lateranense Secundum]]
[[lt:Laterano II susirinkimas]]
[[pl:Sobór Laterańskilaterański II]]
[[pt:Segundo Concílio de Latrão]]
[[uk:Другий Латеранський собор]]