Isaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
Isaka alipokuwa mtoto bado aliokolewa na [[malaika]] kwenye [[altare]] alipoelekea kuchinjwa na baba yake kama [[sadaka]] .
 
Alimwoa [[Rebeka]] na kuzaa naye [[mapacha]] [[Esau]] na [[Yakobo Israeli|Yakobo]].
 
Kadiri ya [[Mwa]] 25:19-34, [[Rebeka]] alimzalia Isaka watoto [[pacha]] wenye [[sura]] na [[silika]] tofauti, Esau na Yakobo. Wa kwanza analaumiwa hasa kwa kupuuzia [[baraka]] ya [[Mungu]] iliyokuwa haki ya [[kifunguamimba]]: kwa sahani ya [[dengu]] alikubali kukosa [[neema]] zile zote alizojitwalia Yakobo kwa imani yake ([[Eb]] 12:16-17).
Alipoaga dunia alizikwa kwenye [[pango la Makhpela]] karibu na mji wa [[Hebron]].
 
Mwa 27 inasimulia jinsi Yakobo, akifundishwa na mama yake, alivyoweza kubarikiwa na baba. Ingawa [[uongo]] wake haukubaliki ([[Hos]] 12:3-5), Mungu alithibitisha baraka ya Isaka kadiri ya desturi yake ya kumpendelea mdogo: hivyo Yakobo, aliyekimbia nchi yake ana fimbo tu, alirudi miaka ishirini baadaye ana wake 2, masuria 2, watoto 11 na mifugo wengi ajabu (Mwa 32). Kabla hajaingia nchi yake Mungu alishindana naye usiku kucha akalazimika kumbariki na kumtajia jina jipya, Israeli.
 
AlipoagaIsaka alipoaga dunia alizikwa na wanae kwenye [[pango la Makhpela]] karibu na mji wa [[Hebron]].
 
Isaka anatajwa pia katika [[Kurani]] ya [[Uislamu]].