Israeli ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Map Israel Judea 926 BC-fr.svg|thumb|300px|Ramani ya Israeli ya Kale mnamo mwaka 926 wakati wa kugawiwa kwa ufalme wa pamoja<br />kijani nyeusi: Ufalme wa Israeli na makabila yake (kaskazini)<br />ijani nyeupe: Ufalme wa Yuda na makabila yake (kusini); <br />Philiste: nchi ya Wafilisti]]
 
'''Israeli ya Kale''' ni jina la watu au taifa walioitwa taifa teule katika [[Tanakh]] au [[AganoBiblia laya KaleKiebrania]]. Kihistoria(kwa waliishihiyo pia katika nchi iliyoitwa Kanaani au [[Israeli]]Agano (baadayala pia [[PalestinaKale]]) kuanzialililo mnamosehemu 1200ya KKkwanza hadi mnamo mwaka 70 BKya [[WaromaBiblia waya KaleKikristo]] walipovamia na kuharibu [[Yerusalemu]] . Wenyeji walijiita mwanzoni Wanaisraeli, baadaye Waisraeli na baadaye pia Wayahudi.
 
Kihistoria waliishi katika nchi iliyoitwa [[Kanaani]], halafu [[Israeli]] (baadaye pia [[Palestina]]) kuanzia mnamo [[1200 KK]] hadi mnamo mwaka [[70]] [[BK]] [[Waroma wa Kale]] walipovamia na kuharibu [[Yerusalemu]], ambao tena mwaka [[135]] waliwafukuza wote kutoka nchi yao.
== Chanzo na mwisho wa historia ya Israeli ya Kale ==
Historia ya Israeli ya Kale inaanza tangu kupatikana kwa taifa hili katika nchi yake inayoitwa Israeli. Nchi hii iliwahi kuitwa Kanaani jina lililoendelea kwa sehemu za nchi ile na sehemu za nchi ziliitwa baadaye pia kwa jina la Palestina. Kufuatana na masimulizi katika Agano la Kale taifa la Israeli lilianzishwa na [[Wanaisraeli]] waliotoka [[Misri]] chini ya uongozi wa [[Musa]] na [[Yoshua]] na kuhamia Kanaani mnamo mwaka 1200. Wataalamu wengine wa kisasa wanaona ya kwamba taifa lilitokea hasa ndani ya nchi kwa kuungana kwa vikundi mbalimbali.
 
Wenyeji walijiita mwanzoni Wanaisraeli, baadaye Waisraeli na baadaye pia Wayahudi.
Muungano huu wa vikundi na makabila ukawa taifa na kuunda ufalme wa kwanza wa Israeli wakati wa mfalme [[Sauli]] aliyefuatwa na Daudi na Suleimani. Baada ya kifo cha Suleimani likatokea farakano na jina la "Israeli likatumiwa na ufalme wa kaskazini wakati mji mkuu wa kale [[Yerusalemu]] ukaendelea kama mji mkuu wa ufalme wa Yuda.
 
== ChanzoMwanzo na mwisho wa historia ya Israeli ya Kale ==
Falme zote mbili ziliharibiwa katika vita na kuanzia mwaka [[587 KK]] hapakuwa tena na dola la kujitegemea. Eneo lilikuwa chini ya falme mbalimbali kama vile Misri, [[Babiloni]], Uajemi na Wagiriki wa Kale.
Historia ya Israeli ya Kale inaanza tangu kupatikana kwa taifa hili katika nchi yake inayoitwa Israeli. Nchi hii iliwahi kuitwa Kanaani jina lililoendelea kwa sehemu za nchi ile na sehemu za nchi ziliitwa baadaye pia kwa jina la Palestina. Kufuatana na masimulizi katika Agano la Kale taifa la Israeli lilianzishwa na [[Wanaisraeli]] waliotoka [[Misri]] chini ya uongozi wa [[Musa]] na [[Yoshua]] na kuhamia Kanaani mnamo mwaka 1200. WataalamuKK wengine wa kisasa wanaonachini ya kwamba[[Yoshua]]. taifa lilitokea hasa ndani ya nchi kwa kuungana kwa vikundi mbalimbali.
 
Wataalamu wengine wa kisasa wanaona ya kwamba taifa lilitokea hasa ndani ya nchi kwa kuungana kwa vikundi mbalimbali.
Lakini mwaka 140 harakati ya kurudisha uhuru uliweza kuwafukuza Wagiriki na kuanzisha ufalme wa Kiyahudi kati ya 140 KK hadi 37 KK. Mwishoni ufalme huu uliwekwa chini ya ulinzi wa [[Dola la Roma]] hatimaye kuwa jimbo la Kiroma tangu [[70 BK]].
 
Muungano huu wa vikundi na makabila ukawa taifa na kuunda ufalme wa kwanza wa Israeli wakati wa mfalme [[Sauli]] aliyefuatwa na [[Daudi]] na [[Suleimani]]. Baada ya kifo cha Suleimani likatokea farakano na jina la "Israeli" likatumiwa na ufalme wa kaskazini, wakati mji mkuu wa kale [[Yerusalemu]] ukaendelea kama mji mkuu wa ufalme wa Yuda.
 
Falme zote mbili ziliharibiwazilishindwa katika vita na kuanzia mwaka [[587 KK]] hapakuwa tena na dola la kujitegemea., bali Eneoeneo lilikuwa chini ya falme mbalimbali kama vile Misri, [[Babiloni]], [[Uajemi]] na [[Wagiriki wa Kale]].
 
Lakini mwakaharakati 140za harakati[[Wamakabayo]] yaza kurudisha uhuru uliweza kuwafukuza Wagiriki na kuanzisha ufalme wa Kiyahudi kati ya [[140 KK]] hadi 37[[4 KK]]. MwishoniHata hivyo kwanzia mwaka [[63 KK]] ufalme huu uliwekwa chini ya ulinzi wa [[Dola la Roma]] na hatimaye kugawiwa na polepole kuwa jimbo la Kiroma (tangu [[70 BK]]).
 
Uvamizi wa Yerusalemu mwaka 70 BK huhesabiwa kama mwisho wa Israeli ya Kale. Wataalamu wengine wanaona tayari uvamizi wa mji wa 587 KK na Wababeli kama mwisho wa kipindi hiki na kuangalia kipindi kati ya 587 KK hadi 70 BK kama kipindi kipya.