Thomas Aquinas Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
[[File:St-thomas-aquinas.jpg|thumb|right|250px|Mchoro wake uliofanywa na [[Carlo Crivelli]]]]
[[File:SummaTheologiae.jpg|right|thumb|200px|Ukurasa wa ''Summa theologiae'']]
'''Mtakatifu Thomas Aquinas''' (takriban [[1224]] – [[7 Machi]], [[1274]]) alikuwa [[upadri|padri]] wa [[Kanisa Katoliki]] na [[mtawa]] wa '''[[Shirika la Wahubiri]]''' kutoka nchi ya [[Italia]].
 
Thoma alizaliwa [[Roccasecca]], katika eneo la watawala wa [[Aquino]] ([[Frosinone]], [[Italia]]), mwaka [[1224]] au [[1225]], akafariki katika [[konventi]] ya [[Fossanova]] tarehe [[7 Machi]] [[1274]].
Kama [[mwanateolojia]] alichunguza hasa mawazo ya [[mwanafalsafa]] wa [[Ugiriki]] [[Aristoteli]].
 
Masalia yake yanatunzwa katika konventi ya [[Wadominiko]] ''des Jacobins'' huko [[Tolosa]] ([[Ufaransa]]).
 
KamaMwanafunzi wa [[Alberto kuu]], kama [[mwanateolojia]] alichunguzaalitumia hasa mawazo ya [[mwanafalsafa]] wa [[Ugiriki]] [[Aristoteli]].
 
Pia anajulikana sana kwa vitabu vyake “Jumla ya Teolojia” (kwa [[Kilatini]] ''[[Summa theologiae]]'') na “Jumla dhidi ya Wapagani” (kwa Kilatini ''[[Summa contra gentiles]]'').
 
Alitangazwa na [[Papa Yohane XXII]] kuwa [[mtakatifu]] tarehe [[18 Julai]] [[1323]], halafu na [[mwalimuPapa waPius KanisaV]]. Sikukuukuwa yake[[mwalimu niwa tareheKanisa]] mwaka [[28 Januari1567]].
 
Ni [[msimamizi]] wa [[wanateolojia]], [[wanachuo]], watoaji na wauzaji wa vitabu, [[wanafunzi]] na [[shule]].
 
Sikukuu yake ni tarehe [[28 Januari]].
 
==Maisha==
Alikuwa mtoto wa Landolfo, sharifu mwenye asili ya Kilombardi, na mke wake, Teodora.
 
Akiwa mtoto wa miaka 5 tu, alitumwa kuishi na [[Wabenedikto]] katika [[Abasia ya Monte Cassino]] ili apate malezi ya kitawa.
 
Alipofikia umri wa miaka 14 alihamia [[Napoli]], aliposoma katika [[chuo kikuu]], karibu na konventi ya [[Chiesa di San Domenico Maggiore (Napoli)]]. Ingawa alipingwa sana na [[familia]], mwaka [[1244]] aliamua kujiunga na [[Wadominiko]].
 
Wakubwa wa shirika, kisha kuhisi ukuu wa akili yake, walimtuma [[Paris]] aweze kukamilisha masomo yake, lakini kabla hajafika huko alikatwa na wanafamilia na kufungwa katika ngome ya baba yake huko [[Monte San Giovanni Campano]] alipokaa mwaka mzima, akishinikizwa aoe.
 
Hatimaye alitoroka au alifunguliwa kwa ombi la [[Papa Inosenti IV]].
 
Baada ya kukaa kidogo Napoli na [[Roma]], mwaka [[1248]] alifika [[Cologne]] ([[Ujerumani]]) ili kufundishwa na [[Alberto Mkuu]], [[mwanasayansi]], [[mwanafalsafa]] na [[mwanateolojia]] wa shirika lake aliyejaribu kulinganisha [[Ukristo]] na [[falsafa]] ya [[Aristoteli]].
 
Baadaye, Thoma aliamua kutekeleza mpango huo wa mwalimu wake.
 
Kuanzia mwaka [[1252]] alifundisha kwenye [[Chuo kikuu cha Paris]], akianza kama ''baccalarius biblis'', na baada ya miaka 4 aliweza kufundisha kama [[profesa]].
 
Wakati huo Thoma alipinga falsafa ya wafuasi wa [[Mwarabu]] [[Averroe]] waliosema [[imani]] haiwezi kupatana na [[akili]]: "Imani ni kwa watu wanyofu, falsafa ni kwa wasomi".
 
Thoma alipambana pia na [[Waagustino]] ambao walifuata falsafa ya [[Plato]] na kusema ile ya Aristoteli haipatani na imani.
 
Mwaka [[1259]] alirudi Italia na kushirikiana na [[Papa Urbano IV]], kwenye konventi ya [[Orvieto]]. Kwa agizo lake, Thoma alitunga au kupanga matini ya [[liturujia]] yote ya sikukuu mpya ya ''[[Corpus Domini]]'' ([[Mwili na Damu ya Kristo]]) iliyoanzishwa tarehe [[8 Septemba]] [[1264]]). Kati ya matini hayo, maarufu zaidi kimataifa ni utenzi ''[[Pange Lingua]]'', hasa sehemu ya mwisho inayoanzia na maneno ''Tantum Ergo''.
 
Halafu alihamia Roma ili kupanga [[kozi]] za [[chuo]] cha [[santa Sabina]] na mwaka [[1267]], [[Papa Clemens IV]] alimuita kwake [[Viterbo]], alipohubiri mara nyingi katika [[kanisa]] la [[Santa Maria Nuova]].
 
Akiwa Italia ndipo alipoandika vitabu vingi kama vile ''Summa contra gentiles'', ''De regimine principium'', ''De unitate intellectus contra Averroistas'' na sehemu kubwa ya kazi yake bora, ''[[Summa Theologiae]]'', inayotumika hadi leo katika [[teolojia]].
Mwaka [[1269]] alirudishwa Paris akaanza, akitetea kiteolojia [[mashirika ya ombaomba]], kupinga [[Uplato mpya]] wa Waagustino.
 
Mwaka [[1272]], akiitwa na mfalme [[Karolo I wa Angiò]], alirudi Napoli na kupanga upya masomo ya teolojia kwenye chuo kikuu karibu na konventi yake asili.
 
Tarehe [[6 Desemba]] [[1273]], katika kanisa la [[San Domenico Maggiore]], alitoka nje ya nafsi yake na tangu siku hiyo aliacha kuandika, akimueleza ndugu [[Reginaldo da Piperno]], msaidizi na muungamishi wake: «Yale yote niliyoyandika naona ni fungu dogo la majani makavu kulingana na yale ambayo nimeyaona na kufunuliwa. Ndio mwisho wa kuandika kwangu na natumaini umekaribia pia mwisho wa maisga yangu.»
 
Ndiyo sababu ''Summa Theologiae'' haikukamlika (inaishia kwenye mada ''De Poenitentia'').
 
Mnamo Januari [[1274]] [[Papa Gregori X]] alimuagiza ashiriki [[Mtaguso wa pili wa Lyon]], na Thoma akafunga safari, ingawa hali yake haikuwa nzuri.
 
Alilazimika kusimama kwenye ngome ya [[Maenza]], lakini alipoona hali inazidi kuwa mbaya asiweze kufikia konventi ya shirika, akitaka kufia [[monasteri]]ni, aliagiza aletwe kwenye [[abasia]] ya [[Waciteaux]] ya Fossa Nuova (leo [[Fossanova]], karibu na [[Priverno]], wilaya ya [[Latina]]), ambapo alifariki baada ya wiki chache.
==Umuhimu wake==
Thoma ni kati ya watu bora upande wa nadharia, hasa ya [[teolojia ya shule]], iliyofikia kilele chake katikati ya [[karne XIII]].
 
== Maandishi ==
* ''Ad Bernardum''
* ''Aurora Consurgens''
* ''Compendium theologiae''
* ''Contra errores Graecorum''
* ''Contra impugnantes Dei cultum''
* ''Contra retrahentes''
* ''Contra Saracenos''
* ''De aeternitate mundi''
* ''De alchemia''
* ''De anima''
* ''De articulis Fidei''
* ''De ente et essentia''
* ''De forme absolutionis''
* ''De lapide philosophico''
* ''De malo''
* ''De motu cordis''
* ''De operationibus occultis''
* ''De perfectione''
* ''De potentia''
* ''De principiis naturae''
* ''De rationibus Fidei''
* ''De regimine principum''
* ''De spiritualibus creaturis''
* ''De substantiis separatis''
* ''De unione Verbi Incarnati''
* ''De unitate intellectus contra Averroistas''
* ''De veritate''
* ''De virtutibus''
* ''Summa contra Gentiles''
* ''[[Summa theologiae]]''
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.newadvent.org/cathen/14663b.htm La voce "St. Thomas Aquinas"] dal sito della [http://www.newadvent.org/cathen/index.html ''Catholic Encyclopedia'']
* [http://www.corpusthomisticum.org/iopera.html ''Opera omnia'']
* [http://www.aristoteles-heute.de/SeinAlsGanzesUnbewegtDt/Theologie/Thomas/summa/index.html ''Summa theologiae'']
* [http://www.iep.utm.edu/a/aquinas.htm Tommaso d'Aquino dall'Enciclopedia inglese di Filosofia in Internet]
* [http://plato.stanford.edu/entries/aquinas/ Tommaso nella Stanford Enciclopedia di Filosofia]
* [http://www.documentacatholicaomnia.eu/20_50_1225-1274-_Thomas_Aquinas,_Sanctus.html ''Opera omnia'' katika [[Kilatini]] na tafsiri 6]
 
{{DEFAULTSORT:Thomas Aquinas}}
 
{{mbegu-Mkristo}}
{{Walimu wa Kanisa}}
 
Line 24 ⟶ 114:
[[Jamii:Wanafalsafa]]
[[Jamii:Wanateolojia]]
 
{{Link FA|ro}}
{{Link FA|sv}}
 
[[an:Tomás d'Aquino]]