Hori ya Chesapeake : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sv:Chesapeake Bay
nyongeza ndogo
Mstari 1:
[[image:Chesaspeake_Bay_karte.jpg|thumb|225px|Ramani ya Hori ya Chesapeake]]
 
'''Hori ya Chesapeake''' (Kiing.: '''Chesapeake Bay''') ni hori la [[Atlantiki]] nchini [[Marekani]] na pia mdomo wa pamoja wa mito kadhaa hasa [[mto Susquehanna]]. Imepakana na majimbo ya [[Virginia]] na [[Maryland]].
 
Eneo lake ni 12,000 km² na inapokea maji ya beseni za mito inyoishia humo zenye jumla ya 165,800 km². Kijiolojia hori ni mwendo wa kale wa mto Susquehanna uliochimbwa miaka 15,000 iliyopita wakati wa [[enzi ya barafu]] ambako uwiano wa bahari ulikuwa mita 100 chini ya uwiano wa leo. Baada ya kupanda kwa uso wa bahari maji yake yalijaa bonde la mto na kulifanya kuwa hori la Atlantiki.