Baruti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-kemia
mpangilio
Mstari 1:
[[Image:Pyrodex powder ffg.jpg|thumb|Baruti nyeusi]]
'''Baruti''' ni mchangayiko wa dutu za kikemia inayotumiwa kurusha [[risasi]] kutoka [[bunduki]]. Ina [[mmenyuko]] wa haraka kati ya kemikali zake ikipashwa moto inatoa [[gesi]] nyingi. Kama mmenyuko huo unatokea penye nafasi kubwa inachoma haraka na ghafla lakini kama unatokea mahali unapobanwa kuna [[mlipuko]]. Kwa hiyo baruti ni [[kilipukaji]].
 
Tabia hii inatumiwa kurusha [[risasi]] kutoka [[bundukisilaha za moto]]. Gesi ya mlipuko zinapanua zikifuata nafasi ya pekee inayopatikana kwenye [[kasiba]] ya bunduki kueleka mdomo wake. Risasi iliyopo mbele inasukumwa na kupata mbio.
 
Baruti iligunduliwa na Wachina mnamo mwaka 1200. Kuna taarifa kutoka karne ya 13 kuhusu matumizi ya baruti kwa mabomu vitani. Kutoka [[China]] teknolojia ya baruti ilienea magharibi kupitia [[Waarabu]] na kufika [[Ulaya]] katika karne ya 13.