Uchumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: bar, cy, el, fiu-vro, gd, kk, pt, roa-rup, uk
d roboti Badiliko: bg:Икономика; cosmetic changes
Mstari 5:
Uchumi mara nyingi hutazamiwa kwenye ngazi za kijiji, eneo, taifa au dunia.
 
== Sekta za uchumi ==
Uchumi wa kijadi katika nchi nyingi ulikuwa hasa kilimo cha kujikimu pamoja na biashara ya kubadilishana bishaa kadhaa zenye thamani kubwa. Kwa mfano tangu kale migodi ya [[Zimbabwe]] ilichimba dhahabu iliyopelekwa baadaye hadi Asia na dunia ya Mediteranea.
 
Mstari 12:
* Sekta ya msingi: kutoa na kuzaa malighafi pamoja na mazao katika mazingira asilia. Mifano ni [[kilimo]], [[uchimbaji wa madini]], [[uvuvi]] au [[kuvuna ubao]].
 
* Sekta ya pili: shughuli za kubadilisha malighafi hizi kuwa bidhaa. Madini ya chuma hubadilishwa kuwa feleji; feleji hutumiwa na viwanda kutengeneza vyuma vya ujenzi, magari, vifaa vya nyumbani. Viwanda vya nguo hutumia pamba kutoka mashambani na kuibadilisha kuwa uzi halafu kitambaa na nguo.
 
* Sekta ya tatu: biashara au usambazaji wa bidhaa hizi kwa wateja pamoja na kuwatolea huduma. Mifano ni maduka yanayouza bidhaa zilizotengenezwa viwandani. Mingine ni huduma kama [[benki]], [[hoteli]], [[sinema]] na [[usafiri]].
 
* Wataalamu wengine hutaja sekta ya nne: shughuli za kusambaza habari na pia utafiti wa teknolojia mpya unaoendelea kuwa muhimu katika nchi zinazoendelea. Wengine huingiza pia [[elimu]] (kazi za shule na [[vyuo]]) katika sekta hiiy a uchumi.
 
== Sayansi ya Uchumi (economics) ==
Hii ni mkono wa elimu inayochunguza masharti ya uchumi kufaulu au kushindwa.
 
[[CategoryJamii:Uchumi|!]]
 
[[Category:Uchumi|!]]
 
[[arz:اقتصاد]]
[[bar:Wirtschafd]]
[[bg:Икономика (стопанство)]]
[[cs:Ekonomika]]
[[cy:Economi]]