Helsinki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: kk:Хельсинки
d roboti Nyongeza: tt:Хельсинки; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Suurkirkko Helsinki maaliskuu 2002 IMG 0629.JPG|thumb|Helsinki]]
[[ImagePicha:Helsinki downtown July 12 2005.jpg|thumb|Helsinki mjini]]
 
'''Helsinki''', ('''''Helsingfors''''' ''Kiswidi'') ni [[mji mkuu]] wa [[Ufini]] na pia mji mkubwa nchini. Idadi ya wakazi ni manmo 550,000 na kuna jumla la milioni moja katika rundiko la mji.
Helsinki iko kwenye mwambao wa [[Ghuba ya Ufini]] ya [[Baltiki]].
 
== Historia ==
Manmo [[1550]] eneo la Helsiniki ilikuwa sehemu ya [[Uswidi]] na mfalme wa Uswidi [[Gustav Vasa]] aliamuru kujengwa kwa mji mpya. Lakini wakati wa utawala wa Uswidi mji ulioitwa kwa Kiswidi "Helsingfors" haukuendela sana.
 
Tangu [[1809]] Ufini ilikuwa chini ya utawala wa Urusi na [[Kaisari]] [[Alexander I wa Urusi]] aliamuru kuhamisha mji mkuu wa jimbo hili kwenda Helsinki na kujenga mji upya. Tangu wakati ule Helsinki imekua kushinda mji wa [[Turku]] uliowahi kuwa mji mkubwa katika Ufini hadi wakati ule.
 
Tangu mwaka [[1917]] Helsinki imekua mji mkuu wa nchi mpya ya Ufini.
 
== Jiografia ==
Helsinki imesambaa mwambaoni wa hori mbalimbali na visiwa vya Ghuba ya Ufini.
 
== Viungo vya Nje ==
[http://www.hel.fi/ Go to City of Helsinki web site - english version]
[http://www.helsinki.fi/en/ Go to City portal of Helsinki - english version]
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Category:Miji ya Ufini]]
[[CategoryJamii:Miji Mikuuya UlayaUfini]]
[[Jamii:Miji Mikuu Ulaya]]
[[CategoryJamii:Helsinki| ]]
 
{{Link FA|af}}
Line 139 ⟶ 140:
[[tl:Lungsod ng Helsinki]]
[[tr:Helsinki]]
[[tt:Хельсинки]]
[[ug:Xélsinki]]
[[uk:Гельсінкі]]