Ayatollah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ast:Ayatollah
d roboti Badiliko: fa:آیةالله; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Ayatollah''' ([[kiajemi]]: آيت الله, [[kiar.]]: '''آية الله''' ayatu 'llah - "alama ya Allah/Mungu") ni cheo cha kiongozi wa kidini katika [[Uislamu]] wa [[Shia]] hasa nchini [[Uajemi]] na pia [[Iraq]].
 
[[ImagePicha:Imam Khomeini.jpg|thumb|Ayatolla Khomeini]]
 
Cheo cha ayatollah hakilingani na [[kuhani]] au [[askofu]] katika dini nyingine. Kinafanana zaidi ya [[profesa]] wa chuo kwa sababu ayatollah hutambuliwa baada ya kumaliza masomo yake na kufundisha kwa muda fulani. Akionekana anajua mambo yake anaheshimiwa na akina ayatollah waliomtangulia ataanza kuitwa hivyo.
Mstari 9:
Ayatollah aliyejulikana sana duniani alikuwa [[Ruhollah Khomeini]] ([[17 Mei]] [[1900]] - [[3 Juni]] [[1989]]) aliyeanzisha mapinduzi ya kiislamu nchini Uajemi na kuwa kiongozi wa jamhuri ya kiislamu.
 
Mwingine ni Ayatollah Mkubwa [[Ali Al-Hoessein al-Sistani]] ambaye ni kiongozi mkuu wa Washia nchini Iraq.
 
[[CategoryJamii:Viongozi wa kiislamu|A]]
 
[[ar:آية الله]]
Mstari 25:
[[et:Ajatolla]]
[[eu:Aiatola]]
[[fa:آیت‌اللهآیةالله]]
[[fi:Ajatolla]]
[[fr:Ayatollah]]