Askofu mwandamizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Katika [[Kanisa Katoliki]] askofu mwandamizi huteuliwa na [[Papa]] kama wanavyoteuliwa maaskofu wengine na anatarajiwa kumsaidia askofu wa jimbo katika shughuli za usimamizi wa jimbo kulingana na mwongozo wa Kanisa Katoliki chini ya usimamizi wa askofu kiongozi.
 
Kipindi hiki askofu mwandamizi anakuwa hana madaraka kamili ya kuongoza au kusimamia jimbo ila humsaidia askofu aliyepo madarakani, kamalakini vilehuyo afanyavyowa askofumwisho msaidizikatika kuchukua uamuzi wake ni lazima amsikilize mwandamizi wake, kwa kuwa ndiye atakayepaswa kuendesha jimbo baadaye, hivyo maamuzi hayo yanaweza yakamsumbua.
 
Pengine askofu mwandamizi anapewa na Papa mamlaka ya pekee, hasa kutokana na hali ya askofu wa jimbo au ya jimbo lenyewe.
 
Upande wa [[sakramenti]] askofu mwandamizi ni askofu kamili kama walivyo maaskofu wengine na huweza kutoa sakramenti zote zikiwa ni pamoja na [[daraja takatifu]] ila atahitaji ruhusa ya askofu wa jimbo ili kufanya hivyo.