Gowee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: br:Corythaixoides
d roboti Ondoa: af:Kwêvoël; cosmetic changes
Mstari 13:
| jenasi = ''[[Corythaixoides]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Andrew Smith|Smith]], 1833
| spishi = ''[[Gowee Kijivu|Corythaixoides concolor]]''<br />
''[[Gowee Tumbo-jeupe|Corythaixoides leucogaster]]''<br />
''[[Gowee Uso-mweusi|Corythaixoides personatus]]''
}}
'''Gowee''' ni [[ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Corythaixoides]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Musophagidae]]. Jina lako linatoka sauti yao inayosikika kama “gwee” au “gowee”. Wanaitwa [[shorobo]] pia kama spishi nyingine za Musophagidae.
 
Ndege hawa wana rangi ya kijivu na nyeupe na wana kishungi kirefu. Wanatokea [[Afrika]] chini ya [[Sahara]]. Hawawezi kupuruka vizuri sana lakini hukimbia juu ya matawi ya miti. Hula [[tunda|matunda]] hasa na [[jani|majani]] na [[ua|maua]] pia, na mara chache hukamata [[mdudu|wadudu]] na [[koa]]. Hujenga tago lao kwa vijiti katika mti mwenye miiba, kama spishi ya ''[[Acacia]]'' ([[mgunga]]) au ''[[Balanites]]'' ([[mjunju]]), na jike hutaga mayai 1-4 lakini 3 kwa kawaida. Vinda wakitoka kwa mayai, wanapambwa na malaika mazito na macho yao ni wazi tayari au karibu.
 
== Spishi ==
* ''Corythaixoides concolor'', Shorobo au [[Gowee Kijivu]] ([[w:Grey Go-away-bird|Grey Go-away Bird]])
* ''Corythaixoides leucogaster'', Shorobo au [[Gowee Tumbo-jeupe]] ([[w:White-bellied Go-away-bird|White-bellied Go-away Bird]])
* ''Corythaixoides personatus'', Shorobo au [[Gowee Uso-mweusi]] ([[w:Bare-faced Go-away-bird|Bare-faced Go-away Bird]])
 
== Picha ==
<gallery>
Image:Grey Lourie 2246397629.jpg|Gowee kijivu
Mstari 33:
</gallery>
 
[[CategoryJamii:Kekeo na jamaa]]
 
[[af:Kwêvoël]]
[[br:Corythaixoides]]
[[en:Go-away-bird]]