Tofauti kati ya marekesbisho "Tanganyika African National Union"

+jamii; viungo vya tarehe
(interwiki)
(+jamii; viungo vya tarehe)
'''Tanganyika African National Union (TANU)''' kilikuwa chama kilichotawala [[Tanganyika]] na [[Tanzania]] hadi muungano wa chama hiki na Chama cha [[Afro-Shirazi]] cha [[Zanzibar]] ulipounda [[Chama cha Mapinduzi]] (CCM) mwaka 1977.
 
TANU ilianzishwa [[Julai 7]], [[1954]] kutokana na [[Tanganyika African Association]] (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa [[Julius Kambarage Nyerere]].
 
TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanzania hadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. [[Katiba]] ya Taifa ya mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa [[nchi za kijamaa]] zenye muundo wa [[siasa ya chama kimoja]].
 
[[Category:Siasa ya Tanzania|TANU]]
[[Category:Historia ya Tanzania|TANU]]
 
[[ca:TANU]]
[[de:Tanganyika African National Union]]
62,394

edits