Papa Benedikto V : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: et:Benedictus V
+kiungo cha nje
Mstari 1:
'''Papa Benedikto V''' alikuwa [[papa]] kuanzia [[22 Mei]] hadi [[23 Juni]], [[964]]. Jina lake la kuzaliwa halijulikani. Alimfuata [[Papa Yohane XII]]. Alilazimishwa kujiuzulu na Mfalme Mkuu [[Otto I wa Ujerumani]] aliyemtuma kwenda mji wa [[Hamburg]] alipofariki tarehe [[4 Julai]], [[966]].
 
== Viungo vya nje ==
[http://www.newadvent.org/cathen/02428b.htm Papa Benedikto V katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
 
{{mbegu-Papa}}