Casper Van Dien : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Viungo vya Nje: Jamii:Waigizaji filamu wa Marekani using AWB
dNo edit summary
Mstari 17:
| tovuti = '''[http://www.caspervandien.com Casper Van Dien]'''
}}
'''Casper Robert Van Dien, Jr.''' (amezaliwa tar. [[18 Desemba]], [[1968]], mjini [[Ridgefield, New Jersey]]) ni mwigizaji filamu wa [[Marekani|kimarekani]]. Anafahamika zaidi kwa jina alilotumia katika filamu ya Starship Troopers kama Luteni ''Johnny Rico''. Pia humwita Andre kutoka katika filamu ya Watch Over Me ya katika [[televisheni]] ya My Network TV, humo alikuwa akicheza kama bodi gadi.
 
==Wasifu==