Meli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ml:കപ്പല്‍
d roboti Nyongeza: gan:船; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Bateaugoelette.jpg|thumb|Jahazi]]
 
'''Meli''' ni chombo kikubwa cha [[usafiri]] kwenye maji. Siku hizi meli huwa na bodi ya chuma ikisogezwa kwa nguvu ya injini inayochoma [[diseli]]. Hadi karne ya 19 meli zilijengwa kwa kutumia ubao zikasongezwa hasa kwa nguvu ya upepo kwa kutumia [[tanga]]. [[Jahazi]] ziko hadi leo.
Mstari 9:
Mkuu na kiongozi kwenye meli anaitwa [[nahodha]]. Watu wanaofanya kazi kwenye meli kwa jumla ni [[mabaharia]].
 
[[ImagePicha:Lod Schema.png|thumb|250px|Muundo wa meli ya kisasa]]
== Muundo wa meli ==
# [[Omo]] ni sehemu ya mbele ya bodi ya meli
# Pua la omo linapunguza ukinzani wa maji wakati wa mwendo na kupunguza matumizi ya mafuta ya injini
# [[Nanga]] hutiwa hadi chini ya maji na kushika meli ikisimama
# Bodi ya meli imetengenezwa kwa mabamba ya feleji
# [[Rafadha]] (au: jembe) ya meli inasogeza chombo mbele ndani ya maji
# [[Tezi]] (au: shetri) ni sehemu ya nyuma ya meli
# [[Dohani]] ni faneli au eksosti kwa hewa chafu ya injini
# Majengo juu ya sitaha ni kama nyumba kwa ajili ya mabaharia na abiria, huwa pia na chumba cha kutawala meli
# [[Sitaha]] ni uso wa juu wa meli; ni dari juu ya bodi ya meli; meli kubwa huwa na sitaha mbalimbali chini ya sitaha ya juu
 
 
== Historia ==
Vyombo vya usafiri vya kwanza kwenye maji yalikuwa [[mashua]] na ma[[boti]] madogo kama [[mtumbwi]].
 
Mstari 32:
 
Katika karne ya 19 [[injini ya mvuke]] ilipatikana hata kwa meli. Meli zikawa kubwa zikaendelea kukua wakati [[injini ya diseli]] imepatikana katika karne ya 20.
[[ImagePicha:Supertanker AbQaiq.jpg|thumb|300px|Meli kubwa ya shehena ya mafuta ya petroli]]
 
== Aina na idadi ya meli ==
Bila kuangalia maboti madogo duniani kuna
* meli za kibiashara 34,882 zenye ukubwa wa [[tani GT]] zaidi ya 1,000; jumla ya meli hizi ni tani bilioni 1.04. (mwaka 2007)
** meli hizi zilibeba jumla ya shehena (mzigo) tani bilioni 7.4 (mwaka 2006) na kiasi hiki kimekuwa asilimia 8 kila mwaka.
** 37.5% za meli hizi zilibeba shehena ya mafuta
** 35.8% za meli hizi zilibeba shehena zilizofunguka kama vile [[madini]], [[makaa mawe]], [[nafaka]] au [[simiti]]
** 10% zilikuwa meli za [[kontena]]
** 10% ni meli zinazochanganya kila aina ya mizigo
* manowari 1,240 bila kuhesabu maboti madogo ya kijeshi (mwaka 2002)
** Marekani ilikuwa na tani milioni 3 za manowari, Urusi na tani milioni 1.35, Uingereza na tani milioni 0.5 na China na tani milioni 0.4.
* meli za kuvua samaki ni nyingi lakini ziko za kila ukubwa si rahisi kuzipanga. Kuna vyombo 38,400 zenye tani zaidi ya 100. Nyingi zaidi ni ndogo sana; meli kubwa ya kuvua samaki zafikia tani 3,000 halfu kuna meli za viwanda ambako kundi la meli zinapeleka windo la samaki na samaki hizi zinakatwa mara moja na kufungwa tayari kwa kuuzwa madukani zikitunzwa katika barafu.
 
[[CategoryJamii:Meli| ]]
 
[[Category:Meli| ]]
 
[[an:Barco]]
Line 72 ⟶ 71:
[[fi:Laiva]]
[[fr:Navire]]
[[gan:船]]
[[gl:Barco]]
[[gn:Ygarata]]