Bunduki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: be-x-old, vi, zh-yue Badiliko: eo, he
d roboti Nyongeza: gan:槍; cosmetic changes
Mstari 5:
Bunduki ya kisasa huwa na akiba ya [[ramia]] katika [[chemba]] yake isipokuwa silaha kadhaa za kuwinda. Silaha za kijeshi huwa na chemba zonazoshika risasi zaidi ya 100.
 
== Aina za bunduki ==
Kwa kawaida neno lataja [[silaha za moto]] zenye kasiba ndefu zinazoshikwa mkononi.
* Bunduki kubwa zaidi zinazosimama kwa magurudumu huitwa [[mzinga]].
* Bunduki ndogo yenye kasiba fupi ni [[bastola]].
* Bunduki kubwa kiasi inayofyatua risasi nyingi wakati moja ni [[bombomu]] (au: mzinga wa bombom; bunduki ya mtombo; bunduki ya rashasha).
* Aina hii kama ndogo zaidi ni [[bunduki ya nusu mtombo]].
* [[Bunduki ya upepo]] inazotumia nguvu ya gesi yenye shindikizo bila mlipuko. Silaha ndogo ya aina hii shindikizo inapatikana kwa kukandamiza hewa katika chumba cha bunduki. Aina zenye nguvu zinatumia ramia isiyo na baruti bali na gesi iliyokandamizwa ndani yake. Faida yake ni hazina kelele kubwa.
* [[Bunduki ya marisau]] hutumiwa kwa kuwinda wanyama ikifyatua risasi nyingi ndogondogo. Ni rahisi zaidi kushika shabaha lakini haipigi mbali.
* [[Gobori]] ni bunduki ambako risasi na baruti zinaingizwa kupitia mdomo wake katika kasiba. Inapiga mara moja tu halafu ni lazima kuijaza upya. Aina hii ni silaha ya kihistoria lakini hupatikana pia kama silaha inayotengenezwa nyumbani.
 
[[Jamii:Silaha]]
Mstari 40:
[[fi:Tuliase]]
[[fr:Arme à feu]]
[[gan:槍]]
[[he:כלי ירייה]]
[[hr:Vatreno oružje]]