Tofauti kati ya marekesbisho "Bwana wa Mapete"

392 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Bwana wa Mapete''' ni kitabu cha bunilizi ya kinjozi kilichoandikwa na J.R.R. Tolkien. Kwa asili, Tolkien aliiandika kama mfuatano wa kitabu chake cha '...')
 
'''Bwana wa Mapete''' ni kitabu cha [[bunilizi ya kinjozi]] kilichoandikwa na [[J.R.R. Tolkien]]. Kwa asili, Tolkien aliiandika kama mfuatano wa kitabu chake cha ''[[Mhobiti (kitabu)|Mhobiti]]'' kilichokuwa kimetolewa mwaka wa [[1937]]. Ila ''Bwana wa Mapete'' ikaendelea kuwa [[riwaya]] kubwa katika sehemu tatu. Tolkien aliiandika kati ya miaka ya 1937 na 1949, hasa wakati wa [[Vita Kuu vyaya Pili vyaya Dunia]]. Hatimaye sehemu hizo tatu zilitolewa kama vitabu vitatu kuanzia 1954 hadi 1955. Tangu kutolewa, ''Bwana wa Mapete'' imetafsiriwa katika lugha nyingi na imekuwa kitabu muhimu katika fasihi ya karne ya 20.
 
Kichwa cha kitabu hicho chamrejea mpinzani wa hadithi aitwaye [[Sauron]]; yeye alikuwa ameumba [[Pete Kuu]] ili kutawala [[Dunia ya Kati]] nzima. Hadithi ya kitabu yasimulia jinsi mashujaa wanavyompigania Sauron vita. Baadhi ya mashujaa hasa ni [[mhobiti|wahobiti]] wanne: [[Frodo Baggins]], [[Samwise Gamgee]] (''Sam''), [[Meriadoc Brandybuck]] (''Merry'') na [[Peregrin Took]] (''Pippin'').
 
{{mbegu-kitabu}}
62,394

edits