Tenochtitlan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: nv:Tenochtitlan
d The file Image:Tenoch2A.jpg has been removed, as it has been deleted by commons:User:Túrelio: ''Copyright violation: the author died less than 70 years ago (according to [http://en.wikipedia.org/wiki/Talk:Tenochtitlan#Pan
Mstari 1:
[[Picha:Tenochtitlan ramani.jpg|thumb||Ramani ya Tenochtitlan ndani ya ziwa la Texcoco]]
 
[[Picha:Tenoch2A.jpg|thumb||Uchoraji wa Tenochtitlan mnamo mwaka 1521]]
[[Picha:Mexico map, MX-DIF.svg|thumb||Mahali pa Tenochtitlan (Jiji la Mexiko)]]
'''Tenochtitlan''' ilikuwa mji mkuu wa milki ya [[Azteki]] na mji mtangulizi wa [[Jiji la Mexiko]]. Ilianzishwa kwenye kisiwa ndani ya ziwa la Texcoco mnamo mwaka 1325 na Waazteki wahamiaji walipofika kwenye bonde la Mexiko kutoka kaskazini. Mji uliharibiwa na Wahispania mwaka [[1321]] na mji mpya ukajengwa juu ya maghofu yake.