Tofauti kati ya marekesbisho "Conquistador"

1 byte added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Harakati ya uvamizi na utekaji wa Amerika ya Kilatini huitwa kwa Kihispania kwa neno "Conquista" (=utekaji).
 
Katika karne baada ya [[Kristoforo KolumboKolumbus]] Maconquistador walikuwa watu waliotafuta utajiri na heri katika "dunia mpya" ya Amerika. Mara nyingi walikuwa wanajeshi wa kustaafu waliokosa nafasi katika maisha ya kawaida Hispania. Walifanya misafara yao kwa gharama zao bila msaada wa serikali ya Hispania au Ureno.
 
Isipokuwa walitangulia kujipatia kibali cha kifalme. Conquistador alipata kibali cha kuvamia eneo fulani kwa jina la mfalme wa Hispania lililoelezwa katika kibali ingawa mara nyingi maeneo hayajulikana bado. Alitakiwa kujenga vituo na miji na kuwapeleka wenyeji wakubali imani ya kikristo yaani ya kanisa katoliki. Kibali kilieleza pia masharti yote kuhusu forodha la bishaa zitakazoingia au kutoka katika koloni mpya. Sehemu ya tano ya mapato yote (= 20%) ya koloni ilitakiwa kulipwa kwa serikali.