Conquistador : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Cortes-Hernando-LOC.jpg|thumb|200px|[[Hernando Cortes]] conquistador wa Meksiko]]
 
'''Conquistador''' ''(tamka: kon-kis-ta-dor; uzito kwa silabi ya mwisho)'' ni neno la [[Kihispania]] ya kutaja jumla la wanajeshi, wapelelezi, mabaharia na wengine kutoka [[Hispania]] na [[Ureno]] waliovamia nchi za [[Amerika ya Kilatini]] na [[Pasifiki]] na kuzifanya kuwa [[koloni]] za Kihispania na za Kireno.
 
Harakati ya uvamizi na utekaji wa Amerika ya Kilatini huitwa kwa Kihispania kwa neno "Conquista" (=utekaji).