Puerto Rico : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
rekebisha jamii |
No edit summary |
||
Mstari 48:
}}
[[Picha:Rico.png|thumb|left|300px|Ramani ya Puerto Rico]]
''' Puerto Rico''' ni nchi katika [[Bahari ya Karibi]] ambayo ni eneo la kushirikishwa la [[Marekani]] katika visiwa vya [[Antili Kubwa]]. Iko upande wa mashariki ya [[Jamhuri ya Dominika]] na upande wa magharibi ya [[Visiwa vya Virgin]]
Jina la Puerto Rico kwa [[Kihispania]] humaanisha "bandari tajiri".
Ilikuwa koloni ya [[Hispania]] iliyovamiwa na Marekani tar. [[25 Julai]] [[1898]] wakati wa [[Vita ya Marekani dhidi Hispania]] na kutawaliwa kama [[koloni]] hadi [[1917]] ambako watu wa Puerto Rico walipewa uraia wa Marekani na kiwango cha utawala wa mambo ya ndani. Tangu 1948 gavana imechaguliwa na watu si kuteuliwa tena na rais wa Marekani. ▼
▲Ilikuwa koloni
Tangu 1948 gavana amechaguliwa na watu, si kuteuliwa tena na [[rais]] wa Marekani.
[[Funguvisiwa]] ya Puerto Rico inajumuisha kisiwa kikuu cha Puerto Rico pamoja na visiwa na funguvisiwa vidogo kama vile [[Mona ( Puerto Rico)|Mona]], [[Vieques ( Puerto Rico)|Vieques]], Monito, Desecheo, Caja de Muertos, Pajaros, Icacos, Palominos, Palominitos, Culebrita, na [[Culebra (Puerto Rico)|Culebra]].
Puerto Rico si jimbo kamili
Wakazi ni raia wa Marekani lakini hawashiriki katika uchaguzi wa rais. Kuna mwakilishi wa Puerto Rico katika [[bunge]] la Watu wa Puerto Rico humchagua [[Gavana]] na wabunge wao.
|