Hagia Sophia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:00058 christ pantocrator mosaic hagia sophia 656x800.jpg|thumb|200px|Mozaiki ya Yesu katika ukuta wa Hagia Sophia]]
 
'''Hagia Sophia''' ni jina la [[kanisa (jengo)|kanisa]] kubwa mjini [[Istanbul]] - [[Konstantinopoli]] lililobadilishwa kuwa [[msikiti]] tangu [[1453]] na halafu kuwa makumbusho mwaka [[1934]].
Jina latokanalinatokana katika [[Kigiriki]] '''Ἅγια Σοφία''' ''("hekima takatifu")'' na kwa [[Kituruki]] inaitwa Ayasofya.
 
Ujenzi wa kanisa ulianzishwa mwaka [[532]] na [[Kaisari]] [[JustinianJustiniani I]] mtawala wa Roma ya Mashariki au [[Ufalme wa Byzanti]]. Alitaka kuwa na kanisa kubwa kuliko yote duniani akafaulu kwa sababu Hagia Sofia ilikuwa ukumbi mkubwa duniani hadi mwaka [[1520]]. Jengo lilikamilishwa baada ya miaka mitano na JustinianJustiniani alipoingia mara ya kwanza aliita "Suleimani nimekushinda", akimfikiria mfalme [[Suleimani]] wa [[Israeli ya Kale]] aliyejenga [[hekalu yala Yerusalemu]].
 
Mwaka 1453 Waturuki [[Waislamu]] waliteka mji wa Konstantinopoli na kuifanya [[mji mkuu]] wa [[Dola la Osmani]]. Hapo Hagia Sofia likabadilishwa kuwa msikiti na Waturuki wakatamka jina la kigiriki kama "Ayasofya". Jengo la kanisa likaongezekwa minara minne ya mtindo wa Kiislamu.
 
Baada ya anguko la Waosmani katika [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] kiongozi wa taifa [[Kemal Atatürk]] akaamuru jengo liwe makumbusho.
Mstari 21:
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Majengo ya Uturuki]]
[[Jamii:Makanisa]]
[[Jamii:Makumbusho]]
[[Jamii:Majengo ya Uturuki]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]