62,394
edits
d (roboti Nyongeza: en:Bessie Head) |
(rekebisha jamii; +{{def}}) |
||
[[Picha:Bessie head.jpg|thumb|right|250px]]
'''Bessie Emery Head''' (
==Maisha ya kitaaluma
Alikuwa mwalimu,
==Kuhamia Botswana ==
Bessie Head aliishi katika eneo la Serowe, ambalo lilikuwa kijiji kikubwa zaidi cha Botswana (yaani makazi ya kitamaduni ikitofautishwa na makazi ya kilowezi). Eneo la Serowe lilikuwa maarufu kwa umuhimu wake wa kihistoria, kama makao makuu ya kabila la Kibamangwato, na kwa shule la jaribio la Swaneng la Patrick van Rensburg. Chifu wa Kibamangwato aliyeng’olewa mamlakani Seretse Khama, baada ya miaka michache angekuja kuwa rais wa Botswana huru.
==
Kazi nyingi muhimu za Bessie Head zina muktadha katika eneo la Serowe, hasa riwaya tati ''When Rain Clouds Gather''(Wakati Mawingu ya Mvua Yanapokusanyika), ''Maru'', na ''A Question of Power''(Swali la Nguvu). Mojawapo ya maandiko yake mazuri zaidi ni ''When Rain Clouds Gather'' (Wakati Mawingu ya Mvua Yanapokusanyika) ambapo anaandika kuhusu kijana mmoja mwenye shida nyingi anayeitwa Makhaya ambaye anatoroka katika pahali pake pa kuzaliwa, Afrika Kusini, kuwa mkimbizi katika kijiji kidogo cha Golema Mmidi, nchini Botswana. Katika kijiji hicho anakumbwa na changamoto nyingi. Moja ambayo ni kuwa Chief Matenge hamtaki katika kijiji hicho. Anakutana na mwanaume mweupe anayeitwa Gilbert na anaanza safari mpya kuelekea kusikojulikana. Pia alichapisha hadithi nyingi fupi, ikiwemo mkusanyiko wa hadithi ''The Collector of Treasures'' (Mkusanyaji wa Vitu vya Thamani). Pia alichapisha kitabu kuhusu historia ya Serowe, kijiji alichochagua kufanya kiwe makazi yake - ''Serowe: Kijiji cha Upepo wa Mvua''. Riwaya yake ya mwisho ilikuwa na muktadha wa Botswana ya karne ya ishirini - ''A Bewitched Crossroad''. (Barabara Zinazopitana za Kurogwa)
*[http://www.bessiehead.org Bessie Head Heritage]
*[http://www.englishdaily626.com/stories.php?017 Looking for rain God - A short story]
[[Category:Fasihi]]▼
{{DEFAULTSORT:Head, Bessie}}
[[Category:Waaandishi wa Botswana]]▼
[[en:Bessie Head]]
|
edits