Jeradi Majella : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Jeradi Majella''' (ambaye alizaliwa tarehe 6 Aprili 1726 huko Muro Lucano, Italia – akafariki tarehe 16 Oktoba 1755 huko Caposele) al...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 04:54, 2 Mei 2010

Jeradi Majella (ambaye alizaliwa tarehe 6 Aprili 1726 huko Muro Lucano, Italia – akafariki tarehe 16 Oktoba 1755 huko Caposele) alikuwa bradha wa shirika la Mkombozi.

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 29 January 1893 akatangazwa na Papa Pius X kuwa mtakatifu tarehe 11 Desemba 1904.

Viungo vya nje