De Beers : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
De Beer wanamiliki migodi Botswana,south afrika,angola,pia walikuwa wakimiliki mgodi wa Mwadui hapa Tanzania kwa sasa wamiliki ni petra wanaosadikiwa kuwa ni kampuni la De Beers.
De Beers ndilo kampuni la kwanza kwa utajiri afrika wakiwa wana zaidi ya dola milioni saba(recodi2003) kwa mujibu wa record ya mwaka2003.likiwa ni kampuni lenye kuzalisha na kuuza zaidi almas duniani
Dunianikwa asilimia 40%,duniani likiwa ni kampuni lalenye 72mafanikio zaidi kwa kushika nafasi ya 72(2003)kwa utajiri duniani.
Mwanzilishi wa kampuni DE BEERS ni cecil Roder alikuwa ni kabulu kutoka uingereza miaka ya 1886. vile vile mwanzilishi wa Mwadui mine ambaye ni mkanada Dk John Wiliamson alifariki mwaka 1958 na mgodi ukamilikiwa na serikali.
Mwanzilishi wa Mwadui mine Dk John Wiliamson ambaye alikuwa mtambuzi wa mawe(geologist)
alibaini kuwepo kwa almas katika eneo hilo miaka ya 193..na kuanza kuchimba kwa kutumia vifaa haba mnamo miaka ya 194..
Alifanikiwa kujenga mamia ya nyumba za wafanyakazi ambazo zipo hadi sasa lakini baadhi zilibomolewa na mameneja wa DE BEERS waliokuwa wakitawala kipindi cha miaka kadhaa iliyopita.
Dr Williamson alifariki mwaka 1958 na kuzikwa Mwadui Mine,baada ya kifo chake serikali ilianza kuuendesha mgodi wa mwadui.
 
ATHANAS FABIAN
 
ATHANAS FABIAN
DJ AFRO DU
email dj_hunter94@yahoo.com