Mto Potomac : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
New page: {{Mto | jina = Mto wa Potomac | picha = Potomac_watershed.png|250px | maelezo_ya_picha = Beseni ya Potomac | chanzo = mpakani wa wilaya za Tucker na Preston katika jimbo la Wes... |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 15:57, 23 Machi 2007
Potomac ni mto wa mashariki ya Marekani. Chanzo kiko katika jimbo la West Virginia inaishia katika hori la Chesapeake la Atlantiki. Una mwendo wa 665 km na beseni ya 38,000 km².
Chanzo | mpakani wa wilaya za Tucker na Preston katika jimbo la West Virginia kwenye 39°11′43″N na 79°29′28″W |
Mdomo | Atlantiki kwenye hori ya Chesapeake |
Nchi | Marekani, majimbo ya Maryland, Virginia, District of Columbia, West Virginia |
Urefu | 665 km |
Kimo cha chanzo | 933 m |
Mkondo | 78 hadi 3,963 m³/s |
Eneo la beseni | 38,000 km² |
Mto unapita Washington D.C. mji mkuu wa Marekani.