John Fisher : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d {{defaultsort}}, +jamii
Mstari 1:
'''John Fisher''' ([[1469]] – [[22 Juni]], [[1535]]) alikuwa padre Mkatoliki kule [[Uingereza]]. Pia aliitwa ''John wa Rochester''. Alimkataa mfalme [[Henry VIII]] aliyejitenga na Kanisa la kikatoliki. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa ndani na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Mwaka wa 1935 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni [[9 Julai]].
{{DEFAULTSORT:Fisher, John}}
[[Category:Watakatifu Wakristo|F]]
[[Category:MaaskofuWaliozaliwa Wakatoliki wa Uingereza|F1469]]
[[Category:Waliofariki 1535]]
[[Category:Watakatifu Wakristo|F]]
[[Category:Maaskofu Wakatoliki wa Uingereza]]
 
{{mbegu}}