Tofauti kati ya marekesbisho "Trinidad na Tobago"

8 bytes removed ,  miaka 9 iliyopita
d
no edit summary
d (roboti Badiliko: an:Trinidad y Tobago)
d
'''Jamhuri ya Trinidad na Tobago''' ni nchi ya visiwani katika [[Karibi]] ya kusini karibu na pwani ya [[Venezuela]] upande wa kusini ya kisiwa cha [[Grenada]] cha [[Antili Ndogo]]. Nchi jirani nyingine kuvukia bahari ni [[Barbados]] na [[Guyana]].
 
Nchi ina eneo la 5,128 [[km²]] ambalo karibu lote ni kisiwa kikuu cha [[Trinidad]]. [[Tobago]] ina asilimia 6 za eneo pekee pamoja na 4% ya wakazi. Kuna visiwa vidogo vingine 21.
{{mbegu-jio-Karibi}}
 
43,458

edits