Trinidad na Tobago : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 53:
|footnotes =
}}
'''Jamhuri ya Trinidad na Tobago''' ni nchi ya visiwani katika [[Karibi]] ya kusini karibu na pwani ya [[Venezuela]] upande wa kusini yakwa kisiwa cha [[Grenada]] cha [[Antili Ndogo]]. Nchi jirani nyingine kuvukia bahari ni [[Barbados]] na [[Guyana]].
 
Nchi ina eneo la 5,128 [[km²]] ambalo karibu lote ni kisiwa kikuu cha Trinidad. Kile cha Tobago inakina asilimia 6 tu za eneo pekee pamoja na 4% ya wakazi. Kuna visiwa vidogo vingine 21.
 
Wakazi wengi wana asili ya [[India]], lakini pia ya [[Afrika]] na sehemu nyingine. Hivyo kuna machotara wa aina mbalimbali.
 
Upande wa [[dini]] wengi ni [[Ukristo|Wakristo]].
 
==Viungo vya nje==