Katerina wa Bologna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Katerina wa Bologna''' ni jina linalotumika kwa kawaida kumtajia Katerina wa Vigri ([[8 Septemba]] [[1413]] - [[9 Machi]] [[1463]]), [[bikira]] na [[abesi]] wa [[monasteri]] ya [[Bologna]] ya [[Waklara|Shirika la Mtakatifu Klara]] ambaye alitangazwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[13 Novemba]] [[1703]] na [[mtakatifu]] tarehe [[22 Mei]] [[1712]].
 
==Maisha==
 
Katerina alizaliwa huko Bologna katika ukoo wa kisharifu wa Vigri na Yohane na Benvenuta Mammolini.
 
Tangu utotoni alilelewa kwa bidii na kusoma hata [[Kilatini]].
 
Mwaka [[1424]], akiwa na miaka 11, Katerina alihamia ikulu la [[Ferrara]] na kuendelea vizuri na elimu ya wakati ule: [[muziki]], [[uchoraji]], [[dansi]], [[ushairi]], [[unakili]].
 
Mwaka [[1427]] alihama na kujiunga na kundi la wasichana walioishi pamoja wakifuata kwanza maisha ya kiroho ya [[Agostino wa Hippo]], lakini mwaka [[1432]] waliweka [[nadhiri]] ya kushika kanuni ya [[Klara wa Asizi]], na kufuata maisha ya ndani tu katika monasteri.
 
Kutokana na heshima iliyomfuata kwa [[karama]] zake za pekee, mwaka [[1456]] ilimbidi akubali ombi la mji wake wa asili kwamba arudi na kuanzisha monasteri nyingine, ambayo akaiongoza kama abesi hadi kifo chake miaka 7 baadaye.
 
Abesi wa monasteri ya Ferrara, Leonarda Ordelaffi, aliwaandikia watawala wa Bologna: “Mjue kwa hakika kwamba nawapatia mtakatifu Klara wa pili”.
 
Katerina ni kati ya Waklara wa [[Observantia]] ambao walishika upendo kwa [[ustaarabu]] pamoja na utakatifu, kwa mfano [[Eustokia Calafato]] wa [[Messina]] na [[Batista Varano]] wa [[Camerino]].
 
==Baada ya kifo==
 
Mwili wake ulizikwa siku ya kufa kwake, lakini baada ya wiki mbili ulitolewa kaburini ukiwa haujaoza bali unanukia; baada ya matatizo mbalimbali uliwekwa kwenye kiti ambapo umeketi hata leo karibu na [[kanisa]] lake huko [[Bologna]] ([[Italia]]).
Line 5 ⟶ 23:
 
== Maandishi yake ==
*''Silaha saba za roho'' (''Le sette armi spirituali'', Ed. Monastero del Corpus Domini, Bologna 1998; pia Ed. del Galluzzo 2000;);
*''Mabustani kumi na mawili'' (''I dodici giardini'', Ed. Inchiostri Associati 1999);
*''Rosari, Utenzi wa karne XV'' (''Rosarium, Poema del XV Secolo'', Ed. Barghigiani, Bologna, 1997);
*''Hotuba'' (''I sermoni'', Ed. Barghigiani, Bologna 1999);
*''LeMasifu, mada na barua'' (''Laudi, SetteTrattati Armie SpiritualiLettere'', Ed. del Galluzzo 2000);
*''Taji la Mama wa Kristo'' (''Corona de la Madre de Christo'', Ed. Digigraf 2006).
*''Laudi, Trattati e Lettere'', Ed. del Galluzzo 2000;
*''Corona de la Madre de Christo'', Ed. Digigraf 2006.
 
=== Michoro yake ===