Khalifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
Baada ya kifo cha Ali lilitokea farakano kati ya Waislamu: wachache waliwataka wana wa Ali kundelea kuongoza lakini walio wengi walimfuata [[Muawiya]] (mkuu wa jeshi la Waislamu huko [[Dameski]]) aliyepigana na Ali na mwanawe [[Hussain]] kijeshi na kushinda.
 
Tangu Muawiya hakuna khalifa tena aliyechaguliwa; Muawiya alimteua mwanawe Yazid amfuate. Tangu siku zile cheo cha Khalifa kiliendela ama kwa mfuasi aliyeteuliwa na mwenye cheo au kilinyanganywa kwa njia ya kijeshi.
 
==Wamuawiya, Waabbasi na Waosmani==
===Wamuawiya===
Muawiya kama jemadari ya Waislamu wa [[Dameski]] alikuwa khalifa mwaka [[661]] baada ya kifo cha Ali. Tangu Muawiya hakuna khalifa tena aliyechaguliwa; Muawiya alimteua mwanawe Yazid amfuate. Tangu siku zile cheo cha Khalifa kiliendela ama kwa mfuasi aliyeteuliwa na mwenye cheo au kilinyanganywa kwa njia ya kijeshi.
 
Wafuasi wa Muawiya waliendelea kutawala hadi [[750]] walipopinduliwa na wafuasi wa Abbas mjomba wa mtume Muhammad. Mmuawiya mmoja tu aliweza kukimbia hadi sehemu ya [[Hispania]] iliyotekwa na Waarabu alipopokelewa kwa heshima na kuanzisha Ukhalifa wa Wamuawiya wa [[Cordoba]] uliodumu katika Hispania hadi [[1031]].
[[Image:Harun Al-Rashid and the World of the Thousand and One Nights.jpg|thumb|150px|Harun ar-Rashid alikuwa mashuhuri kati ya makhalifa Waabbasi]]