Magindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kigezo infobox settlement using Project:AWB
Historia ya magindu, makabila yaliyopo, shughuli za uchumi na mipaka by Erasto Makala
Mstari 18:
 
}}
'''Magindu''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Kibaha]] katika [[Mkoa wa Pwani]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 8,579.Magindu imepakana na wilaya ya Morogoro vijijini kwa upande wa kusini na magharibi, kata ya kwala kwa upande wa mashariki na Mji wa chalinze kwa upande wa Kaskazini. Kijiji cha magindu kilitokana na neno la kikwele ng'indu lenye maana ya kima kwa kiswahili waliopatikana kipindi cha ujenzi wa reli ya kati toka dar kwenda kigoma iliyopitia kijiji hapo.Wakazi wa kijiji na kata ya magindu ni mchanganyiko wa wakwele na wamasai hususani vijiji vya Gumba,Gwata na Magindu pia wakutu wanaopatikana kijiji cha Lukenge.Kijiji cha Magindu ni moja ya vijiji vichache vilivyojariwa rasilimali watu,misitu na Ardhi ya rutuba. Wanakijiji wa magindu kama ilivyo vijiji vingine Tanzania wana mila na desturi za kabila lao la wakwele na hucheza ngoma za Jando kwa wavulana na Uny'ago kwa wasichana ambazo mara nyingi hufanyika kipindi cha mavuno au mlao kama inavyojulikana huko. Magindu ni kijiji ambacho pia kimejaliwa kupata huduma muhimu za kijamii kama shule ya msingi na Sekondari, kituo cha afya na barabara yenye kiwango cha kokoto inayounganisha magindu na chalinze ya wilaya ya Bagamoyo ila bado kuna Tatizo la umeme ambao serikali imeanza mipango ya kupeleka umeme huko.Vitongoji vya Magindu ni Mizuguni ambacho ni kijiji kipya, Magindu mjini, Lukarasi, Mnyonge na Kuyu.Shughuli kuu ya kipato kwa wananchi wa magindu ni kilimo( peasant agriculture)na biashara ndogondogo zinazofanyika eneo la magengeni lililopo Magindu mjini pia vijana hujishughulisha na uchomaji wa mkaa ili kujipatia kipato.
'''Magindu''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Kibaha]] katika [[Mkoa wa Pwani]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 8,579 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kibaha.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21}}</ref>
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
By Erasto Makala
{{Kata za Wilaya ya Kibaha}}
Student in Bsc in Housing (ARDHI UNIVERSITY)
email adress makalaerasto@yahoo.com mobile phone 0688158025
 
{{mbegu-jio-pwani}}