Lamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Lamu''' ni mji mkubwa wa kisiwa cha Lamu kwenye pwani la Kenya mwenye wakazi mnamo 10,000. Mji ni pia makao makuu ya Wilaya ya Lamu. Mji upo upande wa kaskaz...
 
No edit summary
Mstari 1:
 
'''Lamu''' ni mji mkubwa wa [[Lamu (kisiwa)|kisiwa cha Lamu]] kwenye pwani la [[Kenya]] mwenye wakazi mnamo 10,000. Mji ni pia makao makuu ya [[Wilaya ya Lamu]].
 
Mji upo upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa kando la kanali inayotenganisha visiwa vya Lamu na Manda. Kanali hii ni bandari asilia inayohifadhiwa na dhoruba na mawimbi makali ya bahari.
 
==Mji wa Lamu==
Lamu lina umbo la kanda ndefu mwambaoni. Mji wa kale umegawiwa kwa mitaa arobaini lakini kuna hasa sehemu mbili ni Mkomani upande wa kaskazini penye nyumba kubwa ya mawe na Langoni upande wa kusini ambako wakazi wapya walijenga nyumba za udongo.
 
Jengo kubwa la mji ni boma lililokaa zamani moja kwa moja ufukoni.
 
Mwambao wa leo imepatikana tu tangu karne ya 19. Mwambao wa kale unaonekana kwa barabara ya Harambee (au: Usita wa Mui). Wakati wa kujenga Boma ufuko wa kale ulikuwa na maji yenye kina kidogo hivyo ikaamuliwa kujaza sehemu hizi na kupanusha eneo la mji kuingia ufukoni. Watu wenye uwezo walijenga nyumba zao kubwa na mstari wa ufuko ukaimarihswa kwa ukuta.
 
==Historia==