Mmomonyoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: he:בליית קרקע
d ardhi -> dunia
Mstari 1:
[[Picha:Grand_Canyon_cloud.jpg|right|thumb|200px|Bonde la [[mto wa Colorado]]/[[Marekani]] (Grand Canyon) ni tokeo la mmomonyoko wa maji]]
'''Mmomonyoko''' ni hali ya kuvunjika au kumegekamegeka kwa [[udongo]], [[ardhidunia]] au [[Mwamba (jiolojia)|mwamba]] kutokana na athira ya [[upepo]], [[maji]], [[barafu]], [[joto]] au mwendo wa ardhi. Kazi za kibinadamu zimekuwa pia sababu muhimu ya mmonyoko.
 
== Mmomonyoko wa kiasili ==
Mstari 43:
Mabadiliko kutokana na kazi za kibinadamu yalisababisha mara nyingi mmomonyoko wa ghafla unaoshtusha na kuleta hasara. Mfano ni kukata miti hasa kwenye mitelemko ya milima au kulima milimani. Kazi hizi zinapunguza au kuondoa kabisa funiko la mimea na kuacha udongo bila hifadhi. Maji ya mvua na upepo hazina vizuizi tena.
 
Matokeo yake ni mafuriko ya ghafla kwa sababu wakati wa mvua maji huteremka haraka na mara moja yakichimba mifereji, kuharibu nyumba, kuua watu na kuondoa ardhi yenye rutuba kwenye mashamba.
 
Njia nyingine ni mmomonyoko kutokana na kuzidi kwa mifugo. Kazi ya kukanyaga kwa miguu mingi hasa kwenye njia zilezile zinazotumika kuzunguka kati ya boma, maji na sokoni kumeleta uharibifu mwingi.Kwato za mifugo kama ng'ombe, mbuzi, punda na wanyama wengine wafugwao huathiri udongo mara wanapokanyaga mara kwa mara na hivyo hufanya udongo huo kuwa rahisi kusombwa na wakala wa mmomonyoko, kama vile maji, barafu na upepo.